Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Defence line ilikuwa isha settle, laporte atatuchoma tu hata game hii unaona kabisa alikua waruwaru.Laporte sijui kama ata offer anacho offer ake ila kwa dakika chache alizocheza, pengo la ake nimeliona.
Anakabwa benzema anafunga rodrinyo tuko hapaHivi kuna mtu na akili zake timamu anasubiri madrid imtoe city? maajabu.
Mechi za away UEFA city inatakiwa akaze kwelikweli ili atoboe kwa madrid inabidi homeground akichafue kwelikweli
Hana loloteKuna madrid mkuu
Ujui mpiraHivi kuna mtu na akili zake timamu anasubiri madrid imtoe city? maajabu.
Ake ni chuma mkuu,halafu kati ya walinzi walioupgrade this season kama utamuacha ake,basi unasababu zako