Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Nyie subirini kipigo cha mbwa koko. Mtaeleza mwaka jana mlibahatishaje kutufungaTofauti yenu na PSG ni jezi tuu.. [emoji91][emoji91] Los blancos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie subirini kipigo cha mbwa koko. Mtaeleza mwaka jana mlibahatishaje kutufungaTofauti yenu na PSG ni jezi tuu.. [emoji91][emoji91] Los blancos
Laporte akiwa anakipiga kushoto huwa anapitika kirahis sio kama ake kuna game alianza kule kushoto akazingua.We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.
Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?
Atakua anasaidiwa na grealish, huwa anashuka sana chini.We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.
Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?
Jamaa aende tu, anasugua benchi sio poa.Kuna uwezekano summer kalvin phillips akaenda Liverpool, wameanza kuwa serious kuhusu hilo deal
Tupo sokoni kutafuta left back, nadhan gomez atauzwa.Jamaa aende tu, anasugua benchi sio poa.
Yule sergio gomez nae ni flop afunguliwe milango aondoke au atolewe hata kwa mkopo aletwe fullback mwingine.
Laporte msimu huu sio combative kama Ake, acha tuone kesho ataoffer nini.Laporte akiwa anakipiga kushoto huwa anapitika kirahis sio kama ake kuna game alianza kule kushoto akazingua.
UnlikelyKuna uwezekano summer kalvin phillips akaenda Liverpool, wameanza kuwa serious kuhusu hilo deal
During transitions ambapo atajikuta 1v1, hapo ndipo hofu yangu ilipo, msimu huu hajaonyesha kiwango cha kuridhisha.Atakua anasaidiwa na grealish, huwa anashuka sana chini.
Hawa wala hawatuwangishi vichwa kuku wetu huyu manati ya nini mkuu na hakika hana pakuchomokea tuna hasira naye ile mbaya yaani.Madrid kaadhibiwa vibaya sana na Girona. kapigwa 4.
Nmeangalia game zao kadhaa plus hii ya leo, jamaa wana defence soft na first leg kuna uwezekano wakamkosa alaba, na militao ana suspension UCL ya mechi 1.
[emoji23][emoji23]jichanganye sasa uone motoMadrid kaadhibiwa vibaya sana na Girona. kapigwa 4.
Nmeangalia game zao kadhaa plus hii ya leo, jamaa wana defence soft na first leg kuna uwezekano wakamkosa alaba, na militao ana suspension UCL ya mechi 1.
Chelsea ile mbovu lakin bado walitengeneza nafasi ambazo kama wangekua na watu makatili golini Madrid wangekuwa na wakati mgumu, sasa city sio chelsea wala liverpool na bado hapo bado madrid watawakosa CB's wao wawili ambao ni starters.[emoji23][emoji23]jichanganye sasa uone moto
PEP "I hope he will be back soon but tommorow (today) he is out, against madrid I don't know"Muda mfupi ujao pep atakuwa kwenye press conference, ngoja tusubiri updates zozote kuhusu Ake.