The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.

Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?
Laporte akiwa anakipiga kushoto huwa anapitika kirahis sio kama ake kuna game alianza kule kushoto akazingua.
 
We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.

Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?
Atakua anasaidiwa na grealish, huwa anashuka sana chini.
 
Kuna uwezekano summer kalvin phillips akaenda Liverpool, wameanza kuwa serious kuhusu hilo deal
 
Jamaa aende tu, anasugua benchi sio poa.
Yule sergio gomez nae ni flop afunguliwe milango aondoke au atolewe hata kwa mkopo aletwe fullback mwingine.
 
Tupo sokoni kutafuta left back, nadhan gomez atauzwa.
 
Madrid kaadhibiwa vibaya sana na Girona. kapigwa 4.
Nmeangalia game zao kadhaa plus hii ya leo, jamaa wana defence soft na first leg kuna uwezekano wakamkosa alaba, na militao ana suspension UCL ya mechi 1.
 
Hawa wala hawatuwangishi vichwa kuku wetu huyu manati ya nini mkuu na hakika hana pakuchomokea tuna hasira naye ile mbaya yaani.
 
Burnley ya kompany imechukua ubingwa wa championship, jana wameshinda 1-0

Burnley washakuwa promoted kuja ligi kuu msimu ujao.
 
Usiku wa deni haukawii, wavulana wa arteta leo watakuja kujaribu kufufua matumaini yao ya kuchukua ubingwa wa EPL.

Wanakuja kukutana na wanaume wababe wa hizi kazi na mabingwa watetezi, the Cityzens ambao wana kiu ya kutetea taji kwa mara ya tatu mfululizo.

NB: Etihad kila goti litapigwa na hii haitokiukwa.
 
Back
Top Bottom