Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu ukiwaambia hivi wanatokwa na povu balaa [emoji23] na bado.Hahahaa kwamba Mzee Ferguson atajua hajui au sio.
Let's go the cityzens.Winning at fulham means we'll be where we are suppose to be, at the top of the table.
mkuu kiukweli mwaka huu namuonea huruma madrid kama unaangalia mpira wao unaona huruma hata Chelsea nikwakua hakua na mfungaji ila hatosahau huu msimu subiri tarehe Tisa watu watakuja toa shuhuda ifikapo saa 6 usikuNyumbu ukiwaambia hivi wanatokwa na povu balaa [emoji23] na bado.
Huyo kiberenge arudi kuja kufanya nini watu tunataka kudondosha chuma Leao, apambane hukohuko.Sterling arudi tu home ,hawezi pata team kama city iliyokuwa inamtengenezea nafasi ,chance after chance ,nyingine anazichezea na kukosa kabisa ,,anajua kdb ,gundo ,Mahrez atatupia cross
Raheem Sterling : “Consistency and structure go hand in hand and #ManCity have that in abundance. My first few years at Manchester City were nothing like that. We were all over the place. They weren’t the best. We had one management leave and another came in..."
Raheem Sterling: "Pep came and, in the first season, played good football but it wasn’t there. But there was structure, time to implement his way, get the right players, people buy into it. No coincidence they're doing so well - they do it better than anybody.”
[via The Sun Football ]
😀😀😀Nyumbu ukiwaambia hivi wanatokwa na povu balaa [emoji23] na bado.
Watu wanasubiri tutolewe na madrid beki nacho [emoji1787]mkuu kiukweli mwaka huu namuonea huruma madrid kama unaangalia mpira wao unaona huruma hata Chelsea nikwakua hakua na mfungaji ila hatosahau huu msimu subiri tarehe Tisa watu watakuja toa shuhuda ifikapo saa 6 usiku
[emoji3][emoji3] mzee yuko too systematic huyu si mchezo.Hii ndio sababu ya pep kumzingua ederson ....
....View attachment 2603403
Saizi wachezaji wenyewe washakuwa na uzoefu ....hata ancelote hatumii nguvu kubwa kutoa maelezo Kwa wachezaji Madrid .... wachezaji wako mature na situation kama hizo ...Pep kwenye interview jana anasema siku hizi yeye hatoi motivation speech kwa wachezaji kama mwanzo, ni kuwaelekeza approach ya game husika basi, kichapo kinaenda kutolewa.
Arsenal anauelewa mziki, tuko nao mechi ijayo.Hawa west ham wabishi balaa.