The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hizi mechi zilizosalia nazo ni MUST win ukumbuke
Must win game ndio sababu zinahitaji wachezaji walio fully fit without doubt. Ake na kdb ndio kwanza wamerudi kutoka majeruhi huwezi ukawaingiza moja kwa moja kwenye line up wakati tuna mechi zingine ngumu mbele.
 
Wote Ake na KDB hawatakiwi kuwa risked kuanza leo.
Pep ni smart hawezi fanya hivi sababu nafasi ya Ake kuna Akanji ambaye anaperfom vizuri, kwa Kdb kuna Alvarez ambaye japo si kwa level za Kdb lakin anaweza kutusukuma kwa kipindi ambacho Kdb hayupo.
 
Leo wala tutakua hatuna kazi sana, west ham silaha yao kubwa ni set pieces na magoli yao mengi wameyapata kwa style hiyo. Sisi hatuna matatizo kwenye kudefend set pieces, tuko vizuri , swali linakuja je, wao wataweza kuzuia firepower yetu pale mbele? big no.
 
Na watamkosa Zouma leo kwenye defence yao.
 
Rio ferdinand has named Kevin De Bruyne as the current premier league player who should be inducted to PL hall of fame.

Jamaa anamkubali sana kdb.
 
Alvarez na leo akianza, itakuwa ni mara ya kwanza yeye na haaland kuanza kwa pamoja mfululizo.
 
Watu wanaamini timu moja ndio itazuia tusibebe treble msimu huu, real madrid.
Huyu madrid tutamnyoosha hawatoamini, May 9 ifike haraka.
 
Julian Timber

"I play for prizes here (Ajax), there is no better place to be, Ajax was always my dream club. I also slept under an Ajax duvet.

"I plan to stay here for a while but if Manchester City calls, what should I do?"
 
Naona Arsenal baada ya ushindi wa jana wamefufua matumaini. Ushindi leo unahitajika kuwarudisha mashimoni. Mechi ya leo itakua ngumu West ham wana shughuli si ya kitoto
 
Back
Top Bottom