Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Wote Ake na KDB hawatakiwi kuwa risked kuanza leo.Kdb jana ametrain na timu lakini uwezekano wa kuanza leo ni mdogo mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote Ake na KDB hawatakiwi kuwa risked kuanza leo.Kdb jana ametrain na timu lakini uwezekano wa kuanza leo ni mdogo mno.
Kova ni mashine yule bas tu yuko timu ya wagema ulanzi.Aise n Bora McAlister's kuliko huyu covacic kama kweli rumors za kutua Etihad zitakua serious
Must win game ndio sababu zinahitaji wachezaji walio fully fit without doubt. Ake na kdb ndio kwanza wamerudi kutoka majeruhi huwezi ukawaingiza moja kwa moja kwenye line up wakati tuna mechi zingine ngumu mbele.Hizi mechi zilizosalia nazo ni MUST win ukumbuke
Pep ni smart hawezi fanya hivi sababu nafasi ya Ake kuna Akanji ambaye anaperfom vizuri, kwa Kdb kuna Alvarez ambaye japo si kwa level za Kdb lakin anaweza kutusukuma kwa kipindi ambacho Kdb hayupo.Wote Ake na KDB hawatakiwi kuwa risked kuanza leo.
Na watamkosa Zouma leo kwenye defence yao.Leo wala tutakua hatuna kazi sana, west ham silaha yao kubwa ni set pieces na magoli yao mengi wameyapata kwa style hiyo. Sisi hatuna matatizo kwenye kudefend set pieces, tuko vizuri , swali linakuja je, wao wataweza kuzuia firepower yetu pale mbele? big no.
Ni wazi alvarez ataanza leo sababu kdb bado hakuna taarifa kama atakuwepo kwenye squad leo na hata akiwepo ni unlikely kuanza.Alvarez na leo akianza, itakuwa ni mara ya kwanza yeye na haaland kuanza kwa pamoja mfululizo.
Leo naona kikosi kitakua ni kile kile kilichomuua fulham unless pep aje na suprise picks.Ni wazi alvarez ataanza leo sababu kdb bado hakuna taarifa kama atakuwepo kwenye squad leo na hata akiwepo ni unlikely kuanza.
Leo foden anaweza kufikiriwa, kuna gundogan pia anaweza kupumzishwa.Leo naona kikosi kitakua ni kile kile kilichomuua fulham unless pep aje na suprise picks.
Zouma huwa anakuwa threat sana kwenye mipira ya kutenga.Na watamkosa Zouma leo kwenye defence yao.
Madrid silaha yao kubwa Vini ukimzuia Vini umemaliza kazi. Tar 9 Madrid anapigwa kama ngomaNimecheki mechi yao jana versus Real sociedad aiseeee Bila Benzena na Vini Jr kule mbele Rodrygo anateseka sana.