Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But kina rodri na Bernardo silva kwenye interview wanataka kurevenge [emoji23][emoji23][emoji23]Pep
"we are not here for revenge against real madrid"
Sisi tunaenda kucheza mpira tu.
Kwenye mechi 4 zilizobaki, minimum points tutakazoondoka nazo ni 10/12Sean dyche mtu mbad, welcome to the Goodison park brothers and sisters. Ujumbe ni kwamba hatushuki daraja.
[emoji1787] baada ya kutoka 1-1 na bayern bernado alisema sasa hivi city tumejifunza kukubali kuwa dominated kwenye baadhi ya mechi, baadae pep akaja kusema yeye hapendi kabisa timu yake iwe dominated, huwa anafanya kila njia kuhakikisha timu inatawala mchezo.But kina rodri na Bernardo silva kwenye interview wanataka kurevenge [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo tulikuwa tunaanzia etihad, then wanaenda kutuchinjia kwao.Tumekutana na real madrid kwenye semi final mara 2, zote wametutoa.
2015/16
1st leg: Man city 0-0 Madrid
2nd leg: Madrid 1-0 Man city
2021/22
1st leg: Man city 4-3 Madrid
2nd leg Madrid 3-1 Man City
Leo kitaeleweka tu, Ake watamkuta kule etihadAlways tukikutana na real madrid lazima tuwe na injury ya key player(s) why?
Madrid tutampiga home and away.Hizo tulikuwa tunaanzia etihad, then wanaenda kutuchinjia kwao.
This time tunaanzia kwao then wanakuja Etihad.