Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ujanjaa ujanja[emoji23][emoji23] ila Leo Madrid kakamatwa sio poaaNilikuwaga nashangaa ule mpira wa Madrid wa ujanja ujanja kweli niwakutufunga sis ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa Madrid walikua wana mpr wa kitapeli tu na bht nasibu nyng na mbeleko nyng upande wao.Mpira wa ujanja ujanja ushaisha muda wake[emoji23][emoji23]
Mara ooh ni wenye kombe ,mara watapiga come back [emoji23][emoji23][emoji23]Si tulikubaliana madrid nusu fainali huwa hawafungwi? [emoji23]
Unawakuta watu wamekomaa eti ooh madrid wana DNA sijui vitu gani, DNA my foot [emoji23]Mara ooh ni wenye kombe ,mara watapiga come back [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana watu wamesubili come back mpaka dakika ya 90+ [emoji23][emoji23]