The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nilikuwa nazani man city tukichukua UEFA watu wataacha kuongea upuuzi kumbe bado ,Ila najua imewauma vibaya Sana hasa man u na arsenal
Kwa taarifa yenu EPL tunaifanya farmers league
Na UEFA tayari imo kabatini

IMG_4342.jpg
 
Walikuwa wanasema Kama man city ni Tim kubwa ioneshe kombe la UEFA, hili apa Sasa nazani mnaliona
Jana city haters asilimia 80 hawakulala kabisa sababu ya maumivu
Najua wanakejeri Ila mioyoni mwao wamepata jeraha la kudumu
Vamos cityyyyyyyyy
 
Bahati ilikuwa upande wao, Kikosi cha 600 m kilitolewa mafua na Wajeda.
 
Back
Top Bottom