Mahrez anaondoka kwa sababu...
Alikosa muda wa kucheza msimu ulioishaa ..
Alikuwa vzuri kwenye fa cup Toka round ya kwanza Hadi final ,lakin pep hakumpanga kwenye final against man UTD ....
Hakupata nafasi ya kucheza CL kabisa ....
Alipata muda kidogo wa kucheza PL ,....
Baada ya yote kaamua kutafuta sehemu ya kucheza game kila weekend ...
Note ....
Kila siku pep anasema ,mchezaji anayecheza vzuri kwenye training ndio anapangwa kwenye kikosi,Mahrez alitakiwa kuwa humble na kupambania nafasi , kina grealish na bernado wametawala nafasi ya foden na Mahrez kutokana na kujituma uwanjan ....
Ujio wa gvardiol tegemea mabeki wengi kupoteana kama wasipo onesha uwezo ,bench linawahusu ," to be signed by city is first things but to get more time to play is another issue .."
Ake kajitafuta ,kafanya vzuri kwenye mazoezi ,kachukua namba ya Laporte simple kabisa ...badala Laporte ajipambanie through hard working anatafuta kuondoka kutafuta sehemu ya kucheza [emoji23]....
Cancelo karudi ,asipojituma kwenye mazoezi basi kina akanji ,ake ,dias wataendelea kuwa regula starter....no chance to the non hard working player in the pitch ....that why always pep say ,if you are not happy the door is open...