The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii Ni maajabu stone anacheza kama DM Lakin anastruggle .....

Tunashambuliwa Sana na hatuwezi kushambulia Kwa sababu Hakuna creative midifilder wala DM mzuri WA kuweza kutawala Kati ....

Stone na Lewis Hawa n defender by nature pep analazimisha wawe midifilder mbaya ziaid washambulie kitu ambacho sio rahisi Kwao ....

Tunacheza na defender wengi kuliko washambuliaji ..


Walker ,stone ,akanji ,Dias ,Lewis ,gvadiol .....wote Hawa defender ....bernado Silva haonekan...
Majeruhi baba
 
Safiiii😂🤣🤣🤣, Saint Anne kujaaa
Screenshot_20231207-005053_1.jpg
 
Oya kama Aston wamecheza mpira balaa😁😁😁

Ni laana huyo bailey
Ni laana hiyo midfield yao
Yani hadi konsa ukikaa vibaya unaliwa
Ule mpira nahisi guardiola ataweka hii mechi kwenye kumbu kumbu zake za mechi mbaya zaidi kwake
 
Back
Top Bottom