Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee tumepigiwa mpira nilikuwa nimekaa kwenye kiti , hadi nimeanguka ...Oya kama Aston wamecheza mpira balaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni laana huyo bailey
Ni laana hiyo midfield yao
Yani hadi konsa ukikaa vibaya unaliwa
Ule mpira nahisi guardiola ataweka hii mechi kwenye kumbu kumbu zake za mechi mbaya zaidi kwake
Arteta hawaachi msimu Huu[emoji23]Ahahaha nyie wapumbavu tu
Hamna team humo mjipange tu 2024/25
Liva bingwa
Kiunafiki sema hata man u utupoze roooHii ni game ambayo pep ameshikwa kila sehemu. Pep hii game kuisahau ni ngumu sana maana unai kampigia mpira mwanzo mwisho alitakiwa afe si chini ya 3 [emoji38].
Pale juu akikaa huyu unai kama masihara anaweza asishuke.
Ligi imekaa kimtego sana ukimuondoa ARSENAL timu yoyote ile ambayo itakaa juu iwe Tottenham, Newcastle, Aston villa na liverpool inaweza kuwa bingwa wa msimu huu.
Kiunafiki sema hata man u utupoze rooo
-Walker's attacking skills are like a GPS that always leads to the nearest parking lot
Nani kajuta mdogo wangu?Pep kashasema hii game Ni kama final .... Astonvilla atajuta kuingia uwanjan leo
Timu haina mashabiki hii, imejaa glory hunters tu😂😂Mzee umetawala uzi hauna hata wa kusaidiana naee
Arsenal naanza kumpiga me mwenyewe Anfield kama villa Park atatoka salama atastahili hongera. Naona jana mmepigwa msako makini na UNAI.Kwa tulichomfanya Arsenal last season nataman achukue EPL ,ila sasa Liverpool Wanapumzi ya moto hatari ....Arteta Kazi anayo ...
Bado hamjasemaHii Ni maajabu stone anacheza kama DM Lakin anastruggle .....
Tunashambuliwa Sana na hatuwezi kushambulia Kwa sababu Hakuna creative midifilder wala DM mzuri WA kuweza kutawala Kati ....
Stone na Lewis Hawa n defender by nature pep analazimisha wawe midifilder mbaya ziaid washambulie kitu ambacho sio rahisi Kwao ....
Tunacheza na defender wengi kuliko washambuliaji ..
Walker ,stone ,akanji ,Dias ,Lewis ,gvadiol .....wote Hawa defender ....bernado Silva haonekan...
Sisi Ni unpredictable kama mnaona city imekuwa mbovu Ni sawa ,lakin as long as hii Ni December hata January bado tutaendelea kuwachachafya pale juu ....
Timu ya watoto wa miaka ya elfu2😂😂Mzee umetawala uzi hauna hata wa kusaidiana naee
Bingwa ni city au liverpool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] man utd mmepoteza game 6 mpaka sasa sijawahi kuona timu imechukua ubingwa kwa lost zaidi ya 7 .
Seme vile hamna draw hata mmoja anyway nawaweka kwa mbaliii sana wanangu[emoji38] mkikaa juu pale mbona iko wazi kombe lenu.
Wale arsenal huwa on top halafu they do nothing [emoji23][emoji23] ipeleke hii statement kwenye mambo yetu yale ndo utajua kwanini arsenal ni kituko pale epl.
[emoji1787]Pep kashasema hii game Ni kama final .... Astonvilla atajuta kuingia uwanjan leo
Kama ulivokuwa glory hunter wakati WA furgson...ukashabikia man U ,yaah it's trueTimu haina mashabiki hii, imejaa glory hunters tu
Game week 15 out of 38 ....hii league bado mbichi January itaamua ...Timu imechezesha mabeki 5 na bado imefumuliwa