The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

404b745a-0bd7-4f25-8667-ba6d2eb9fb35.jpg

Sijawahi ona City mbovu kama hii walahi.
Jumamosi kwa Luton hutoki
 
Oya kama Aston wamecheza mpira balaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Ni laana huyo bailey
Ni laana hiyo midfield yao
Yani hadi konsa ukikaa vibaya unaliwa
Ule mpira nahisi guardiola ataweka hii mechi kwenye kumbu kumbu zake za mechi mbaya zaidi kwake
Aisee tumepigiwa mpira nilikuwa nimekaa kwenye kiti , hadi nimeanguka ...

Hawa Villa walikuwa wanauwezo WA kutufunga hata 3
 
Hii ni game ambayo pep ameshikwa kila sehemu. Pep hii game kuisahau ni ngumu sana maana unai kampigia mpira mwanzo mwisho alitakiwa afe si chini ya 3 [emoji38].

Pale juu akikaa huyu unai kama masihara anaweza asishuke.

Ligi imekaa kimtego sana ukimuondoa ARSENAL timu yoyote ile ambayo itakaa juu iwe Tottenham, Newcastle, Aston villa na liverpool inaweza kuwa bingwa wa msimu huu.
 
Kiunafiki sema hata man u utupoze rooo
 
Kiunafiki sema hata man u utupoze rooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] man utd mmepoteza game 6 mpaka sasa sijawahi kuona timu imechukua ubingwa kwa lost zaidi ya 7 .

Seme vile hamna draw hata mmoja anyway nawaweka kwa mbaliii sana wanangu[emoji38] mkikaa juu pale mbona iko wazi kombe lenu.

Wale arsenal huwa on top halafu they do nothing [emoji23][emoji23] ipeleke hii statement kwenye mambo yetu yale ndo utajua kwanini arsenal ni kituko pale epl.
 
View attachment 2835203
Sijawahi ona City mbovu kama hii walahi.
Jumamosi kwa Luton hutoki
-Walker's attacking skills are like a GPS that always leads to the nearest parking lot
-Nunes's decision-making is on vacation, -Alvarez and Foden defend like cats trying to avoid water
-Gvardiol's 1v1 duel is more confusing than deciphering a London Underground map
 
Kwa tulichomfanya Arsenal last season nataman achukue EPL ,ila sasa Liverpool Wanapumzi ya moto hatari ....Arteta Kazi anayo ...
Arsenal naanza kumpiga me mwenyewe Anfield kama villa Park atatoka salama atastahili hongera. Naona jana mmepigwa msako makini na UNAI.
 
Hii Ni maajabu stone anacheza kama DM Lakin anastruggle .....

Tunashambuliwa Sana na hatuwezi kushambulia Kwa sababu Hakuna creative midifilder wala DM mzuri WA kuweza kutawala Kati ....

Stone na Lewis Hawa n defender by nature pep analazimisha wawe midifilder mbaya ziaid washambulie kitu ambacho sio rahisi Kwao ....

Tunacheza na defender wengi kuliko washambuliaji ..

Walker ,stone ,akanji ,Dias ,Lewis ,gvadiol .....wote Hawa defender ....bernado Silva haonekan...
Bado hamjasema
Yaani hadi useme
 
View attachment 2835203
Sijawahi ona City mbovu kama hii walahi.
Jumamosi kwa Luton hutoki
Sisi Ni unpredictable kama mnaona city imekuwa mbovu Ni sawa ,lakin as long as hii Ni December hata January bado tutaendelea kuwachachafya pale juu ....

Saizi tunamashindano mengi ,club world cup tunacheza mwezi huu ...

Mbaya Zaidi team inamtegemea rodri ,Bila rodri tumeshindwa kabisa cha kufanya ...

But this team is still alive ,
 
Nani anaweza kulicheza sagarumbaa
Mimi Ninaweza kulicheza sagarumbaa
Nauliza naniii
Nasema Mimi

Mafuta ya taaa mafuta ya taa mafuta ya taaaaaaa
Yamemwagika yamemwagikaaaaa
Mpaka chinii mpaka chini paka chiniiii
 
Attachments

  • IMG-20231204-WA0015.jpg
    IMG-20231204-WA0015.jpg
    90.7 KB · Views: 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] man utd mmepoteza game 6 mpaka sasa sijawahi kuona timu imechukua ubingwa kwa lost zaidi ya 7 .

Seme vile hamna draw hata mmoja anyway nawaweka kwa mbaliii sana wanangu[emoji38] mkikaa juu pale mbona iko wazi kombe lenu.

Wale arsenal huwa on top halafu they do nothing [emoji23][emoji23] ipeleke hii statement kwenye mambo yetu yale ndo utajua kwanini arsenal ni kituko pale epl.
Bingwa ni city au liverpool
Hakuna mwingne😅😅
 
Back
Top Bottom