The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Toka Madrid wasikie wanacheza na Sisi ..

Wametuma barua mbili kule UEFA kutaka ratiba ibadilike game ya 2 leg ichezwe Kwao,waanze wao kuja kucheza Etihad ....hii haijawahi kutokea[emoji1787]

Wamekuwa wakihamasisha mashabiki wao wote waje uwanjani wamevaa jezi ya real Madrid nyeupe na sio nyingine ,wote [emoji1787]....hii haijawahi kutokea ...

Waliomba ruhusa la liga wakae siku 10 Bila kucheza mpira wakijiandaa na game ya city ....hii haijawahi kutokea ..

Wameandika barua UEFA kuhakikisha uwanja wao unafungwa Kwa juu ,ili kelele zisikike vzuri [emoji1787]......

Haya yote hayajawahi kutokea ..kiufupi Madrid wapo na pressure kubwa mnoo ....
 
Stori za kijiweni hizi (japo sijathibitisha). Sidhani kama tunaweza kuandika hizo barua ila hilo la mavazi na kufunga uwanja ili kutengeneza "bonge la vibe" ni jambo zuri.
 
imagine na kufunga uwanja hivi bado tukiwagonga hapo hapo Kwao [emoji16][emoji16]
2120120207.jpg
 
Hawa Madrid hawajitambui kabisa hadi wanatupost kabisa kwenye page yao [emoji1787]
975159854.jpg
 
Madrid huwaga hawapendagi kabisa mazoea mazoea na kombe lao

Time will tell [emoji355]
 
Siku zote nasema mpira Ni Akili ... Bernardo,,[emoji3447][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuchaaaaaaaa!!!! Tuwapige hawa Madrid km hatuwajui vileee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom