The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

kwake pep kapata alicho kitaka sasa ataenda weka full squad pale etihad tutataka kuona jee anceloti amejifunza kitu toka matokeo ya 4-0 mwaka jana
 
city fans don't be too comfortable with this squad
Madrid are coming for you this time
 
Madrid Hakuna team hapo ,team inafungika kirahisi mnoo ....

Mmekaaa siku 8 Bila kucheza mnasubili city ..

Mkafunga hadi paaa la uwanja ili kututisha ...but we own you at your closed roof [emoji23]
sawa ngoja week ijayo
kazi bado haijaisha

hala madrid
 
Ndo maana Kuna watu nawaambia Kwa mpira wa Madrid ni ngumu kumtoa City, iwe ni bahati tu Madrid waipate...huwezi kumfunga city Kwa aina ya kukaa vile nyuma kama wafanyavyo/walivyofanya Madrid, Ili umfunge City inahitaji kidogo kucopy aina ya uchezaji wa Liverpool ya klopp ya toe to toe...Madrid anakwenda kufa vibaya sana Kwa uchezaji ule, tena atatolewa Kwa aibu mbali na kuziba uwanja, kuhimiza mashabiki wavae nyeupe tupu, kujifungia kambini kujiandaa masiku kibao hahh, atakufa mtu Etihad.
 
tactic za leo zilikua ucheze hivo unavo ona ili usipate kadi nyengine ya njano na imelipa sasa ngoja subir mechi ijayo uone
madrid watakachomfanya city

mark my words
 
Goal mbili za deflection Ni uzembe kabisa ,beki zetu zinakuwa disorganised tunaposhanbuliwa ,Hakuna shape nzuri ya kuzuia tukiwa off the ball ...Ortega anashindwa kujipostion vizuri ili aweze kusave baadhi ya shots ...
 
Tukutane Etihad,
The [emoji170][emoji833][emoji1665]
Hallah
[emoji460][emoji460][emoji460]
 
sawa ngoja week ijayo
kazi bado haijaisha

hala madrid
Hauwezi kutegelea magoli ya deflactions mawili na mbio za wachezaji umfunge city ,Pep ni next level lazima uende na mpango wa kueleweka .City yupo mbele sana ya madrid anayo majibu na maswali mengi ya kumuuliza madrid Etihad.
 
pep alipo ulizwa ni kwanini inakuwaga ngumu kuchukua, UEFA
Alichojibu ni kutokana na uwepo wa Madrid uko

Kwayeyote anaeijua Madrid hanaga play style nzur wala tactics
chini ya Anceloti wana mpira wao wa uefa uefa nandicho wanacho ki implement hamna mambo mengi wala mba'mba'mba, ila wanakuja wanachapa wanaenda beba kombe lao

mark my words
 
Madrid haina tactics kaka ,wanacheza mpira WA kuvizia Carlo Ni coward mmoja hivi ,.....

Sijui aliaangalia game ya Arsenal ,kina Rudiger walikuwa compact Sana pale Kati huku wakimshikiria Haaland ...ndio maana magoli yetu yote Ni nje ya box ...

Carlo mbinu ilikuwa kutumia winger WA pembeni vin kufanya mashambulizi , Tchoumeni na Rudiger wako na Haaland ,Kross +Jude wanavizia lose ball wapige pass ndefu za pembeni Kwa vin au Rodrigo huku wao wakikimbilia katikati ya box kusubili cross...

Wakipoteza mpira wote wanarudi nyuma shape inakuwa 5-3-2 off the ball

Sis kama kawaida yetu pass after pass possession football ,attacking while defending
Unasema Carlo ni coward hana mbinu. Af katika post hiyo hiyo unataja mbinu za Carlo.
 
tactic za leo zilikua ucheze hivo unavo ona ili usipate kadi nyengine ya njano na imelipa sasa ngoja subir mechi ijayo uone
madrid watakachomfanya city

mark my words
Anceloti amecheza kama hivi pia mechi mbili zilizopita za UEFA na man city msimu Jana, Kwa uchezaji ule itokee bahati labda lakini la sivyo hamtoi City, city ukikaa ukikubali rodri na wenzake pale kati wacheze mpira muda mwingi kwenda mbele umekwisha. Kama unataka kucheza vile inahitaji uwe creative katikati kitu ambacho Madrid Kwa Sasa watu hao hawana, wako too directive, unajua kabisa Madrid wakipata mpira watauvusha Kwa vini au rodrygo...alivyoingia modric kidogo Kuna vitu ilikuwa unaviona hasa creativity pale kati....carlo asipende kukaa sana nyuma muda mwingi, maana plan yake ya kuwatumia vini na rodrygo sometime zinaback fire.
 
.
2097790842.jpg
 
Back
Top Bottom