The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo kwa mara nyingine Tena, mchumba kakumbatiwa😃
 
Attachments

  • IMG_20240418_012053.jpg
    IMG_20240418_012053.jpg
    25.7 KB · Views: 3
Na mwakani ana tua mbappe nilikuwa sina confidence juu ya ujio wa mbappe nilihisi uta disrupt rhythm ya madrid na utawala wa kina jude

laah jude ni kiboga tu pale mbele Madrid wanamuhitaji sana Mbapee mwenye caliber yake yule moto pia wapate kiongo bora kama modric ( writz )
 
Madrid tutakabaliana nae vizuri tu Ngoja tumlete musiala kwanza.
 
Ni vile tu soka ni mchezo wa kikatili sana. Manchester City alistahili ushindi. Walicheza vyema sana.
Hata goli lenyewe basi tu la kizembe mno.

Hii game ilikua yetu kabisa yani wala isingeenda matuta, tumepigwa kamba bado tukawa tunaleta pira la kisharobaro.
 
Hawa wajinga wametudhihaki sana asenali leo, sahv zamu Yao😂
🤣🤣🤣🤣 Mngepenya mngetusumbua sana humu, mmerudisha goli ghafla mkahamia uzi wa Arsenal na kejeli kibao!!!! Haya kiko wapi?? 😂😂😂😂

Baba Jane bye bye 👋
 
Madrid tutakabaliana nae vizuri tu Ngoja tumlete musiala kwanza.
huku tunamleta davis 40m mbappe free agent hakimi 60+ yule beki yoro wa lile tukamnyatie writz basi nyinyi na sisi ugomvi wetu hauishi leo
 
Possession 67%
Shots: 21
Corner: 18
Goals: 1 in 120 minutes?!!!!
With Haaland up front and kdb at the middle?!!

Kwa uchezaji wetu hatufai kukutana na timu aina ya madrid zote 2 real na atletico.
 
Back
Top Bottom