The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

what a miss carlos tevez..

penati to city na tunapata goli la pili..:A S soccer:
 
Penati ya kwanza ilikuwa mbeleko. Ingekuwa Man U hapo, maneno mia naa.
Hongereni kwa kukalia kiti kwa muda. Wanamume tutarudi kwenye kiti chetu baada ya masaa 3 yajayo.
 
mkuu ile ya kwanza hadi wachezaji wanashangaaa..
 
Penati ya kwanza ilikuwa mbeleko. Ingekuwa Man U hapo, maneno mia naa.
Hongereni kwa kukalia kiti kwa muda. Wanamume tutarudi kwenye kiti chetu baada ya masaa 3 yajayo.

Wametengenezewa mazingira mazuri ya kushinda mechi na wameshinda kweli bwana.
 
Back
Top Bottom