The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Defence leo at least kuna uhai, wa kuhofia pale nyuma ni walker tu maana ameshakua tia maji of late.

Pale kati ndo shughuli sasa, Gundo sio solid defensively ila ni mzuri kwenye kusambaza mipira, nafikiri stones atakuwa anaingia pale kati kuweka double pivot.

Spurs watatupa shida kwenye transition, sioni kama tutaweza ku deal nao vizuri kwenye hiyo sekta.

Kule mbele matumaini yapo kwa Foden ambaye ka flop.
Atakuwa anabadilishana na silva kule kulia, wote wakiwa kwenye form basi tunaweza kupata angalau goli 2, tunamiss sana creativity pale kati.
Mkuu tunaumia huku
 
Mwaka jana mwezi wa kwanza spurs alitupiga 2-0 first half, full time akafa 4-2.

Ngoja turudi sasa.
 
Back
Top Bottom