Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaguna 😁😁Duuuuh
Mkuu tunaumia hukuDefence leo at least kuna uhai, wa kuhofia pale nyuma ni walker tu maana ameshakua tia maji of late.
Pale kati ndo shughuli sasa, Gundo sio solid defensively ila ni mzuri kwenye kusambaza mipira, nafikiri stones atakuwa anaingia pale kati kuweka double pivot.
Spurs watatupa shida kwenye transition, sioni kama tutaweza ku deal nao vizuri kwenye hiyo sekta.
Kule mbele matumaini yapo kwa Foden ambaye ka flop.
Atakuwa anabadilishana na silva kule kulia, wote wakiwa kwenye form basi tunaweza kupata angalau goli 2, tunamiss sana creativity pale kati.
Ilazimishe tu mkuuAkili inakataa kabisa kuamini kwamba leo ni kipigo kingine tena.
SawaMwaka jana mwezi wa kwanza spurs alitupiga 2-0 first half, full time akafa 4-2.
Ngoja turudi sasa.
.Mwaka jana mwezi wa kwanza spurs alitupiga 2-0 first half, full time akafa 4-2.
Ngoja turudi sasa.
Mbona kama ya ki-snitch hiviSawa
KawaidaAkili inakataa kabisa kuamini kwamba leo ni kipigo kingine tena.
Kijana Bado yupo ndotoniMbona kama ya ki-snitch hivi
Inabidi aamke asije akanya kitandaniKijana Bado yupo ndotoni