The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Fantastic four
IMG-20250215-WA0011.jpg
 
Most assists by a goalkeeper in premier league history 🔥🔥🔥
IMG-20250216-WA0000.jpg
 
Mzenge yupo mwenyewe tu kwenye uzi anajaza page kwa updates 😂😂😂
Muache afurahie maisha japo kuna muda huwa anachosha, haswa pale anapoamua kuandika scoreline kila dakika. Yaani mtu anaanza dk 1, 0-0, dk 2 0-0....mpaka dk 97 0-1... daah😀😀😀. Halafu wakati mwingine akiona hakuna tumaini la ushindi, anapotea.

Ningeenjoy zaidi kuja huku kama angekuwa anaweka matukio muhimu tu na stats na uchokozi kwa timu zingine ili tuongeze engagement humu, kuwe kama majukwaa mengine.
 
Sasa nnakuchosha wakati unaamua kupita mwenyewe huku 😂😂
 
Sasa nnakuchosha wakati unaamua kupita mwenyewe huku 😂😂
Tunajaribu kukusaidia ila hausaidiki. Hili jukwaa halina engagement ya maana. Tunaweza kukuacha uendelee kulitumia mwenyewe kama ndivyo utakavyo..
 
Tunajaribu kukusaidia ila hausaidiki. Hili jukwaa halina engagement ya maana. Tunaweza kukuacha uendelee kulitumia mwenyewe kama ndivyo utakavyo..
I'm just enjoying football kaka HENRY14, mtu akiamua kuja kuweka vikomenti kadhaa ni jambo jema tutatupiana vijembe vya hapa na pale life linaendelea, sasa kusema unanisaidia mara nakuchosha wakati ni hiari yako mwenyewe dah 😂
 
Marmoush hakucheza game ya first leg, hii ya pili hawezi wekwa benchi.

Hii maana yake kutakuwa na mastraika wawili, logically savinho anatakiwa aanze sababu ni mzuri zaidi kwenye kutengeneza nafasi na ana offer msaada pia defensively.

Foden ni mfungaji zaidi ( tutakuwa na Haaland na Marmoush ndani) kwaiyo naona ni kama kutakosekana balance kwa namna fulani unless achezeshwe kama attacking midfielder, kitu ambacho sioni kikitokea kwasababu hiyo itamaanisha KDB akae benchi.
 
Mashindano ya South American Championship U20 yameisha.

Claudio Echeverri atawasili siku si nyingi pale etihad.

Kwenye hayo mashindano kamaliza na magoli 6 na assists 3 (9 G/A)
 
It took Mohamed Salah 30 games to score his first PL hat trick.

Marmoush has scored his first hat trick after 3 PL games.
 
Man city midfield against Real madrid last week.

Silva___Stones___KDB

Man city probable midfield against Real madrid tommorow.

Silva_____Gonzalez_____KDB

Which means more energy& athletism.
 
Back
Top Bottom