Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache afurahie maisha japo kuna muda huwa anachosha, haswa pale anapoamua kuandika scoreline kila dakika. Yaani mtu anaanza dk 1, 0-0, dk 2 0-0....mpaka dk 97 0-1... daah😀😀😀. Halafu wakati mwingine akiona hakuna tumaini la ushindi, anapotea.Mzenge yupo mwenyewe tu kwenye uzi anajaza page kwa updates 😂😂😂
Sasa nnakuchosha wakati unaamua kupita mwenyewe huku 😂😂Muache afurahie maisha japo kuna muda huwa anachosha, haswa pale anapoamua kuandika scoreline kila dakika. Yaani mtu anaanza dk 1, 0-0, dk 2 0-0....mpaka dk 97 0-1... daah😀😀😀. Halafu wakati mwingine akiona hakuna tumaini la ushindi, anapotea.
Ningeenjoy zaidi kuja huku kama angekuwa anaweka matukio muhimu tu na stats na uchokozi kwa timu zingine ili tuongeze engagement humu, kuwe kama majukwaa mengine.
Tunajaribu kukusaidia ila hausaidiki. Hili jukwaa halina engagement ya maana. Tunaweza kukuacha uendelee kulitumia mwenyewe kama ndivyo utakavyo..Sasa nnakuchosha wakati unaamua kupita mwenyewe huku 😂😂
I'm just enjoying football kaka HENRY14, mtu akiamua kuja kuweka vikomenti kadhaa ni jambo jema tutatupiana vijembe vya hapa na pale life linaendelea, sasa kusema unanisaidia mara nakuchosha wakati ni hiari yako mwenyewe dah 😂Tunajaribu kukusaidia ila hausaidiki. Hili jukwaa halina engagement ya maana. Tunaweza kukuacha uendelee kulitumia mwenyewe kama ndivyo utakavyo..