Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Dogo ana matatizo gani - sasa anataka kurudi kwao. kipaji anacho lakini kaaaa ukorofi mtupu. haya wapenzi wa city au wanaomjua zaidi wanipe data. nilifikiri hakuelewana na kocha wa kwanza, kaja mwingine yaleyale bora hakuja Chelsea manake angetuzingua tu
Watu wanataka kucheza World Cup,kwa hiyo anatafuta timu ambayo atapata number ya uhakika. Ila huyo bwana mdogo bora asingeenda Man City angeenda timu kama Chelsea au Barcelona.
Fletcher apiga la pili Manuare 2 Man Citeh 0 Dak 72
....la Tevez je mbona hulihesabu?