The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu ndetichia pole sn na ninafikiri ata game yng na wewe ya FA ya tarehe 15 utakua sasa utakua na 50/50.

Mimi naijua Chelsea na Mou vizuri sn ndio maana huwa tukisema ukweli nyie mnatuita wabishi!

Pole sn na jiandae tena kwa game ya tarehe 15.
kikosi chenu kilikuwa full sie majeruhi ndio maana tuka poteza..
 
Last edited by a moderator:
Daaah tumekuwa wapole tutulie tu dawa ituingie vizuri..mourinho shkamoo bana

Nimefurahi kuona mshabiki Mwenye kukubali kushindwa na kuridhia Matokeo!

Pole sn Kigogo na wasilimie wote huko Kigogo !!!
 
Last edited by a moderator:
kikosi chenu kilikuwa full sie majeruhi ndio maana tuka poteza..

Mkuu ndetichia hizo ni sababu zisizo nguvu yeyote!

Mko na wachezaji Zaidi ya 20 kwa matumizi sasa ukiniambia majeruhi mimi sielewi na pia Kocha wako alidai kabla ya game kwamba amekua anashinda mbali ya kutokuwepo kina Aguero! Sasa Huoni km unapingana nae?

Pole sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
kikosi chenu kilikuwa full sie majeruhi ndio maana tuka poteza..

Kwa pesa mlizonazo Man City na bench walilonalo sioni sababu ya majeruhi ya mchezaji mmoja au wawili kuwa kisingizio cha kufungwa. Silva ni kama hakuwepo jana usiku, Yaya aliwekwa mfukoni na Matic, Hazard aliinyanyasa beki ya Man city alivyotaka na showboating za kutosha

Pellegrini nadhani ana fear factor akikutana na Jose, match ya kwanza alifungwa kwa sababu alipanga hovyo team yake. Jana kampanga Demichellis katikati wakati kuna Milner na Rodgwell bench

Lakini kingine mkubali tu jana mlikutana na master tactician, na Pellegrini analijua hilo, muulizenu kakutana na Jose mara ngapi na mara ngapi kaambulia patulo, mechi nyingine kapigwa mpaka goli saba(7)

Robby Savage anauliza; Demichelis had a disastrous night, but were City's struggles in midfield all down to him? I am not so sure.
 
kikosi chenu kilikuwa full sie majeruhi ndio maana tuka poteza..

Halafu Mkuu jana nilikuuliza Fernandinho yuko wapi? Nikakwambia Demichellis atakua tatizo na upande wenu wa kushoto wa beki, kwa Kolorov na Nastazic kutakua uchochoro, ukabisha kwa kiburi chote ila goal la Chelsea lilifungwa na beki 2 wao, kuthibitisha nadharia yangu kuwa kushoto kwenu kulikua uchochoro

Kwa maana nyingine Man City inategemea wachezaji wawili mpaka wanne, Fernandinho, Yaya, Aguero na Silva/Kompany au sio?
 
Jamani tunekubali mtuache tulaleeee..dawa imetuingia tumetulia
 
Halafu Mkuu jana nilikuuliza Fernandinho yuko wapi? Nikakwambia Demichellis atakua tatizo na upande wenu wa kushoto wa beki, kwa Kolorov na Nastazic kutakua uchochoro, ukabisha kwa kiburi chote ila goal la Chelsea lilifungwa na beki 2 wao, kuthibitisha nadharia yangu kuwa kushoto kwenu kulikua uchochoro

Kwa maana nyingine Man City inategemea wachezaji wawili mpaka wanne, Fernandinho, Yaya, Aguero na Silva/Kompany au sio?

Mkuu hao wachezaji uliowataja ndio tegemeo la City!
Na chakufurahisha Jana Jose hakuweka marking ya kumlinda Toure au Silva aliwaacha huru kabisa! Ila walioikua wakiingia kwenye anga za Chelsea walikua wanakabwa sn! Walipotea na kukosa mipango kabisa!
 
Me naona ni kosa kutegemea sana wachezaji wawili watatu ingawa sometimes ni ngumu kama mnawachezaji wenye kiwango cha juu ya wenzake kama Hazard kwa Chelsea

Mourinho anapanga team kutokana na mpinzani, kwa hiyo inasaidia wachezaji wote kufeel wamo katika mipango ya kocha. Ila ukitaka kila match viungo wa kati awe Yaya na Fernandinho itakupa shida mmoja wao akiumia au mbaya zaidi wote wakiwa majeruhi.

Yaya hawezi kucheza vizuri kwa sasa bila Fernandinho, kama Yaya hawezi kucheza vizuri then Silva hawezi kucheza vizuri na hivyo washambuliaji wanakosa huduma. Lakini kuna kina Milner, Rodgwell na Garcia wanaoweza kucheza hapo, halafu unaweza kuuliza kwa nini Pellegrini alimuondoa Barry? Kina Rodgwell wangekua wanachezeshwa kutokana na mpinzani sidhani kama jana kulikua na haja ya kumchezesha beki tena beki mchovu kwenye nafasi nyeti kama ile.

Hamman kiungo wa zamani wa Man City kuna siku alisema Yaya is vulnerable pindi team ikipoteza mpira, alipondwa sana ila jana nadharia yake ilithibitishwa ndio maana Demichellis alikua exposed sana na kasi ya Willian, Hazard, Ramires na Matic.
 
Mkuu maelezo ni mazuri sn! Tumeyasema sn haya Hapo nyumba na ndio ubaya Wa kutegemea wachezaji wachache! Chelsea wao wote wako vzr km Jose anavyosema kua anajenga timu!

Na pia Pellegrini alikua anafatilia kiwango cha Chelsea hasa game ya Arsenal, Liverpool Na Man Utd! Aliona kiwango cha Chelsea kimepanda sn ndo maana akaona amuweke Demichellis badala ya James Milner!
 
.... Ab-Titchaz kamanda wangu, umeshabikia team gani jana?

Unauliza ndevu afghanistan?huyo ni chelsea mwanzo kati mwisho...katulia tu labda yuko busy lakini ataanza kuweka mipicha picha sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Unauliza ndevu afghanistan?huyo ni chelsea mwanzo kati mwisho...katulia tu labda yuko busy lakini ataanza kuweka mipicha picha sasa hivi

.....hahahhah......
Ngoja aje mwenyewe ajibu hapa.
Tumetoka nae mbali sana huyu mkuu
Ndio maana nikamuuliza hivyo...
 
sawa,maneno hayo!sisi tunakuja kuteketeza kidaraja chenu cha theluji hicho,tunakiripua!
Na kama chelsea itatufunga sisi mods piga ban hata la wiki mbili,mana bora kuikosa jf kwa muda huo kuliko kuangalia tambo za kina agosti 8 , Ntuzu , Mentor na jf chelsea fans munakuwaga na kelele nyingi kama alivyo kocha wenu ila tukiwapiga musikimbie jukwaa tafadhari

Kuna mwenzio alisema jumapili kuwa Chelsea ikimfunga Man City atatembea Kabang nje kuanzia Posta hadi Ubungo hadi hivi sasa kafika Jangwani anaomba mvua inyeshe. Teh teh teh...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa pesa mlizonazo Man City na bench walilonalo sioni sababu ya majeruhi ya mchezaji mmoja au wawili kuwa kisingizio cha kufungwa.

Lakini bench la Man City jana lilikuwa empty ukilinganisha na bench la Chelsea. Unlike Man City, Chelsea has squad depth. Kitu ambacho Man City wanawazidi Chelsea ni strikers.

But the most interesting thing ni kuwa the teams which started kwa pande zote mbili cost £156m each(?), kama nilimsikia commentator vizuri

Silva ni kama hakuwepo jana usiku,

To put it simply Silva is another Mata. He is deadly wakati timu yake ikiwa na mpira, but completely useless wakati timu haina mpira.

Inavonic had a free ride on the right Remires alikuwa anabacktrack kila Kolarov alivyopanda.

Ukiangalia wakati Inavonic anafunga like goli, Silva alikuwa on the left side upande wa Azpilicueta. What the hell was he doing there? He was supposed to back-track and deal with his man. It is a naked truth kuwa kama Silva angekuwa Chelsea, Mourinho angempiga bei kama alivyompiga bei Mata.

Yaya aliwekwa mfukoni na Matic,

Sijawahi kuona Yahaya akiwa bullied kama jana. He bullies ni the midfiled, lakini jana Matic was bullying him. For me Matic was man of the math.

Hazard aliinyanyasa beki ya Man city alivyotaka na showboating za kutosha

The kid future looks great. It is upon him kama akiharibu.

Pellegrini nadhani ana fear factor akikutana na Jose, match ya kwanza alifungwa kwa sababu alipanga hovyo team yake. Jana kampanga Demichellis katikati wakati kuna Milner na Rodgwell bench

I was also suprised kwa nini alienda na 4-4-2 in a big match like this.

Lakini kingine mkubali tu jana mlikutana na master tactician, na Pellegrini analijua hilo, muulizenu kakutana na Jose mara ngapi na mara ngapi kaambulia patulo, mechi nyingine kapigwa mpaka goli saba(7)

The guy often deliver in big matches. Nafikiri jana watu wengi walikuwa wanadhani angepaki basi, lakini akapaki Ferari. lol

The result proves that Man City are beatable. Kulikuwa kumeshaingia woga fulani kuwa ukicheza na Man City, tena at their home ground, lazima uende na gunia la kubebea magoli. Any team is beatable. Hata Barca walipigwa bao tatu juzi na Valencia. Chelsea could not beat West Ham ambayo Man City waliifunga goli ngapi tena? Ni kujipanga tuu and keeping attention to the details.

Robby Savage anauliza; Demichelis had a disastrous night, but were City's struggles in midfield all down to him? I am not so sure.

No doubt that, Man City were missing two important players. Those two players could have made a big difference. But every team loose players to injuries. Mfano Man Utd missed both Rooney and Van Persie and this cost them. Arsenal has lost Walcott for the rest of the reason and this will cost them. Who knows may be when Chelsea plays vs Arsenal they may not have Hazard, Terry, etc due to injuries?
 
Kuna mwenzio alisema jumapili kuwa Chelsea ikimfunga Man City atatembea Kabang nje kuanzia Posta hadi Ubungo hadi hivi sasa kafika Jangwani anaomba mvua inyeshe. Teh teh teh...

huyo ni mwehu!
Ila man shity kusema kweli wanabebwa na marefa na jana ilidhihirika ktk kadi ya nastasic ilibidi apigwe nyekundu kwani alikuwa ni mtu wa mwisho,
hadi mou alilalamika sana,
kwakweli mumefika hapo mlipo kwa udhaifu wa marefa,
mechi ya newcstl na liverpulu zote mlistahili kichapo
 
Back
Top Bottom