Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Hahahahah
Ntuzu umefuraaahiii..
angalia aisee, wanakuja kwako hao weekend hii, wasije wakakudhalilisha mkuu..
Teh Teh Teh Teh
Mkuu MosDef Unajua Jana tumebishana sn mi nikawambieni kz ya kudhohofishwa City inafanywa na na timu zingine! Wengine wakaniona mbishi na kunishauri niwe Nafatilia maoni ya Wachambuzi Wa UK au ulaya Lkn Mimi nikakataa nikasema siwezi! Mimi natoa maoni Yangu na sifati ya mtu! Mi nachambua soccer mwenyewe!
Naelewa Sunderland wanakuja next saturday Lkn Nimekua nikisema habari za kuanzishwa Ba na Salah na Matic Lkn Watu hamuelewi Kwanini nasema hivyo!
Hao kina Ba na wenzake ndio wataiua sunderland Hiyo Jmosi na wengine watapumzika kwaajili ya ATM! Upo hapo Mkuu!
Then tunakuja kwako mazima!
Teh Teh Teh Teh
Last edited by a moderator: