Babu Asprin, Baada ya kusoma stori ya binti mlokole natumai sasa utamruhusu mtumishi wako apumzishe kichwa chake.
I rest my case...ADIOS!
Binti mlokole ana upakoooo!! Heheheee
Imefika zamu yake vidole vya lara 1 vikafreeeeeeze!
Wallah nimecheka leo na hizo comments sasa watu wanavyohangaika kuguess! Lol
ZIGO LIMETUA LA MOTOOOOOOO TOKA JIKONIIII! :lol::lol::lol::lol:! Msije kufa tu kwa kupaliwa ubuyu! Ohooooooooooo!
Usingeingia kwenye hii thread ningebadili dini....
Kuna story ya mlokole inakaribia kupakuliwa na lara 1 hapa. Kama ni wewe napingua uchumba..
Shoga nawewe utakosekana kwenye list kweli? Maana wewe nae mkongwe ati? Lol
Hahahaa. Itakua kuna kaukweli fulani hivi lkn. Ila umedimika sana aisee.
wa zanzibar huu!!!
yaani!!
Mimi niko mbali kidogo, si rahisi kujichanganya. Hata party zenyewe tu naziogopa! Hahah