Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kiwatengu bhana usinichekeshe!ha ha ha...hivi ukihudhuria party ni lazma usema na ID yako?
Kwanini uogope? while wewe ni mzuri?..
Hivi unaujua umbea wewe au unausikia tu?? Lol
Hapo line ya mwisho teh mimi sio.
Hivi hukumbuki kipindi kile natetea watu kuitwa wabaya nyitu zikanimark kuwa mie ndo mbaya na ndo maana natetea eti ili nijihami!!! Lol
Last edited by a moderator: