The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

ha ha ha...hivi ukihudhuria party ni lazma usema na ID yako?

Kwanini uogope? while wewe ni mzuri?..
kiwatengu bhana usinichekeshe!
Hivi unaujua umbea wewe au unausikia tu?? Lol

Hapo line ya mwisho teh mimi sio.
Hivi hukumbuki kipindi kile natetea watu kuitwa wabaya nyitu zikanimark kuwa mie ndo mbaya na ndo maana natetea eti ili nijihami!!! Lol
 
Last edited by a moderator:
Interesting shit...ila nauona mkono wa lara 1 kwenye hii stori.

Modified? Exaggerated? Excruciating detail added? If any of these is true, na ulisema hutaki responsibility kwa hii Autobiography.....
 
Last edited by a moderator:
Hmmmm inawezekana ehhh?Mi bado sana kuamini, nimevutiwa tu na mtiririko wa matukio.

Nipo, sema tu siandiki sana.

Poa Lizzy usiadimike sana, utukumbushie kumbushie masredi ukipata muda maana nawe ulikua mtata sana kwenye hizi mambo.
 
Last edited by a moderator:
Interesting shit...ila nauona mkono wa lara 1 kwenye hii stori.

Modified? Exaggerated? Excruciating detail added? If any of these is true, na ulisema hutaki responsibility kwa hii Autobiography.....

Mi sijui, I TAKE NO RESPONSIBILITY WHATSOEVER! Unaona wenyewe kwa wenyewe wanakubali 100% VALID, wengine 95% ila mimi kama mimi my part was VERY TRUE sijuikwa wenzangu. Niliponea tu NUSRA NUSRA, ILE ALMANUSRAAA! An i can guarantee you IT WAS NOT A STUPID PLAN AT ALL. Ila it was somebody i dont know, i have never seen, probably i wont rember hata apite hapa. Ikileta RACUS sanaa maybe i should write my own MEMOIR! Hahahhaaaaaaaaa!
 
kiwatengu bhana usinichekeshe!
Hivi unaujua umbea wewe au unausikia tu?? Lol

Hapo line ya mwisho teh mimi sio.
Hivi hukumbuki kipindi kile natetea watu kuitwa wabaya nyitu zikanimark kuwa mie ndo mbaya na ndo maana natetea eti ili nijihami!!! Lol

Nakumbuka!! sema sijajua identification ya uzuri hapa inafanyikaje!!
coz nikimwangalia shans wangu, ndiyo maximum ya uzuri wa macho yangu!!

btw sura + other things visikunyime kukutana na watu.
 
Last edited by a moderator:
Trip ya zenji nimeshakusoma,ila trust me siyo broken heart ni janja zake navyomsoma
 
Babu Asprin, Baada ya kusoma stori ya binti mlokole natumai sasa utamruhusu mtumishi wako apumzishe kichwa chake.

I rest my case...ADIOS!

Hahahahaha kwa hapo mtumishi unaruhusiwa uenende kwa amani.
 
Last edited by a moderator:
I know namtania tu .mbona.unamtetea kuna ka.agenda nn lol

hakuna agenda!! ila watu wa dar mna mbwembwe sana,
kukutana kwenu lazma muibuke na mistori kibaooo...
Mbona haya mambo hayatokei Arusha? au Mwanza?
 
mi nasoma nitaunga dots lols af ukuje wozap

Kule nipo muda wote

I know namtania tu .mbona.unamtetea kuna ka.agenda nn lol

aahaha..dogo..no hiden agenda asee

Nakumbuka!! sema sijajua identification ya uzuri hapa inafanyikaje!!
coz nikimwangalia shans wangu, ndiyo maximum ya uzuri wa macho yangu!!

btw sura + other things visikunyime kukutana na watu.

Yes..true that

Ndo u MMU unakua mzuri ila ile ya mashanga ni noma maana yule wateja wote atakua anawapeleka kwake kwenye zana zote

Ahahaha
 
Back
Top Bottom