Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
What are you trying to achieve bae?
Hahaha I know the goal and how to get there.....hebu njoo huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What are you trying to achieve bae?
Escape nilizidiwa ujanja na Mentor....this time around nimejipanga vizuri mnooooo.
Mtani jirani watu wakapigia korasi jina lako ?
Hahahahahahahaha umezidi na wewe kuwa mhandiiiiii!!
Mekumiss!
Hahahhaaaaaaaaaaaa! Mi simoooooo! SAHIVI DONT YOU THINK YOU NEED SOME NEW MEAT!:lol: Au na wewe yakheee wala mizogaaa?:tape2:
Hulalaaaaaaa....kwahiyo nanihii na kina nanihiii ndio mizoga eeeh....astaghafirulah laadhim
CC....tag mwenyewe
Hahahaaaaaaaaaa! NYIE WENYEWEE MMEJISHTAKIIIIIII! Mimi huyu Silent walker sikumuamini even 1 bit, lakini mlivoanza kumaliza wenyewe sina la kusemaaa. Mi yangu nimekubali GUILTY AS CHARGED. Matter of fact najiandaa kuandika MEMOIR.
Watu wanahisi, na kutaja watu, mradi kuchuma dhambi tu! IN THE END SILENT WALKER SHEMU ZINGINE ALIWATAJA WATU WENGINEE KABISAA ILA TOKAA NA SIASA ZA HUMU WANASHUKIWA WENGINE.
Aisee we loud killer ulipotelea wapi??
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Usinitie kesi mimi, SITAKI DHAMBI ZA BUREEE MIE! Akhaaaaaaaaaa! Nyie hisianeni weeeeee lakini bottom line is SILENT KILLER kabadilisha kanuni za mchezo.:lol:
Alafu imagine kila mtu angenyamaza ingekuwa just another small talk, ila reactions ndo zina upa uhai scene za SILENT KILLER!
Nilikuwa nabemendwa na lara 1....kanizeesha vya kutosha huyu mtu maana hakuna anachojua zaidi ya migegedo heavy weight...
nakuona unawakilisha bazazi family....yule raia anaitwa Nicas Mtei yupo nchi hii?
Mie nishakupa angalizo kitambo tu....angalia raia wasijechomoka na tendons za miguu yote ubaki kuiona michuchumio kwenye miguu ya wenzio...
Hahahahaha...Story inaendelea ujue..sasa iko WP ya escape one...
Escape nilizidiwa ujanja na Mentor....this time around nimejipanga vizuri mnooooo.
Huyu Nicas Mtei na bazazi mwenzie KakaKiiza wanahitaji thread yao ya kujitegemea. Naandaa makabrasha nimrushie laramoko afanye mambo yake. Kutakuwa hakuna kuficha majina....
Hahahahaha.....hebu fanya hivyo faza ili panuke hapa....lara moko hebu pokea makarabrasha ya nyeti za watu.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!! Uju Asprin utaniua kwa chekooo, kwa mambo yako ya kijingaaa. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nacheka na mengi humo ujue. iLA aSPRIN SIJUI UMELEWA SIJUI!:lol:
Nilewe saa ngapi wakati umeniweka kutwa nzima hapa namfuatilia silent Killer. Nachomshukuru Mungu hao wote uliosema kawapitia hakuna koloni langu hata moja.
mwambie huyo bweg.e asijepitia kwenye anga zangu. Mi nshakanyaga miwaya atakufa na kaumri kake ka kuku.
Hahahaaaaaaaa! KWENYE SHANGA KULE NA VISOSA ULISALIMIKAAA? :lol: Ntu wa pwani wewe yakheeeeeeee!
Hahahaahaaaaaaaaaa! Umeona ujitangaze una miwaya ili wakususie eeeeeh! Kweli mbinu zinabadilika.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! Naona Silent Killer kawafanya mabazazi muonekane AMATEURS! Umemsahau MAXMALIPO! Nasikia nae yumo yumo, i ze dont know, hili la sahivi langu sio la silent killer!:lol:
Umeona sasa unavyoniharibia moves? Hili lilaji la kisirisiri halichelewi kunichukulia vimodo vyangu. Ila achukue wote aniachie miss neddy.
Duuuh MMU ni zaidi ya uijuavyo!!
Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...
Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...
Hujamjua dume dada ni nani? Hahahaaaa pole sana, Hata mimi wa juzijuzi hapa MMU Lakini tayari nimesha mjua.
By the way it's too late caz ulisha mshobokea sana yani.
Hint: cheki nimejiunga lini JF then from that time to date Angalia nani ulikuwa una mshobokea sana,😄😄😄😄
Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...
Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...
Bado dots zimegoma kuunganika kwangu
uzeni tu mipapa hiyooo.
sie tunawasoma na kucheka juuu!!!
Sjui wanajiskiaje kwa sasa haipendez kwa mtoto wa kike kufanya hayo tunajishushiaga heshima hatujui tu
wehu tuu
halafu wanatudharau sie walimu masikini yarabi
llooohh
acheni hizo wadada na wamama wote
umalaya sio dili wala nini!
oneni sasa mnajidhalilisha tu!na mnadhalilika pia
hongereni vidume vyote mnaowamega hawa wasiojielewa...!!
Halaf kweli hata kwenye jamii waalim wa kike wanadharaulika na mengi kilichokizur n kujielewa tu na ukijiheshim hata wengine watakuheshim ila ukijiona wewe jamvi la wageni utakaliwa sana
Lakini hatuwezi kujua, pengine kwenye list kuna walimu pia
Hajatajwa mwalim me naskia aibu kwa hayo yanayofanyika huku na wanawake wenzangu
Halaf kweli hata kwenye jamii waalim wa kike wanadharaulika na mengi kilichokizur n kujielewa tu na ukijiheshim hata wengine watakuheshim ila ukijiona wewe jamvi la wageni utakaliwa sana
Kama watu wazima mnaandika mambo kama haya,mnategemea vijana wanaojiunga kila siku humu waige nini kama sio upuuzi huu?
Mnajidharilisha ndugu,naona jamiiforum imeshakuwa ni zaidi ya facebook.