The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Mie nishakupa angalizo kitambo tu....angalia raia wasijechomoka na tendons za miguu yote ubaki kuiona michuchumio kwenye miguu ya wenzio...

Hahahaaaaaaaa! KWENYE SHANGA KULE NA VISOSA ULISALIMIKAAA? :lol: Ntu wa pwani wewe yakheeeeeeee!
 
Hahahahaha.....hebu fanya hivyo faza ili panuke hapa....lara moko hebu pokea makarabrasha ya nyeti za watu.

Ntachangaya na kabrasha la bazazi mkuu Mtambuzi. MMU itafungwa kwa muda kupisha amani itawale. Hakyamama
 
Last edited by a moderator:
Nilewe saa ngapi wakati umeniweka kutwa nzima hapa namfuatilia silent Killer. Nachomshukuru Mungu hao wote uliosema kawapitia hakuna koloni langu hata moja.

mwambie huyo bweg.e asijepitia kwenye anga zangu. Mi nshakanyaga miwaya atakufa na kaumri kake ka kuku.

Hahahaahaaaaaaaaaa! Umeona ujitangaze una miwaya ili wakususie eeeeeh! Kweli mbinu zinabadilika.
 
Ntachangaya na kabrasha la bazazi mkuu Mtambuzi. MMU itafungwa kwa muda kupisha amani itawale. Hakyamama

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! Naona Silent Killer kawafanya mabazazi muonekane AMATEURS! Umemsahau MAXMALIPO! Nasikia nae yumo yumo, i ze dont know, hili la sahivi langu sio la silent killer!:lol:
 
Hahahaahaaaaaaaaaa! Umeona ujitangaze una miwaya ili wakususie eeeeeh! Kweli mbinu zinabadilika.

Umeona sasa unavyoniharibia moves? Hili lilaji la kisirisiri halichelewi kunichukulia vimodo vyangu. Ila achukue wote aniachie miss neddy.
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! Naona Silent Killer kawafanya mabazazi muonekane AMATEURS! Umemsahau MAXMALIPO! Nasikia nae yumo yumo, i ze dont know, hili la sahivi langu sio la silent killer!:lol:

Naona sasa unaitafuta ban kwa lazima. ODM left.....
 
Yaani hazbendi umetuangusha sana.... utachunwaje uzeeni??? Sasa wewe team bazazi au team kuchunwa hadi ngozi???

Hahahahah lol kanipatiaje? Hakyamama hapa sina ujanja. Khaaa!!!

Acha tu....

Roho imeuma kuona le hazbendi ni bazazi zee....

Halafu anachunwa Tu... sasa bazazi atachunwaje? Si kuaibisha team bazazi na wakeze??

Hahahahahahahahahaha,uuuuuuuwih!!
Wallahi lewooo kende zimekuwa ndogo kama punje za ngano!!
Hahahahaha cacicooooooooooooo ukuje!
BADILI TABIA njoo shogaaangu!
Kongosho mume wenu kataitowa huku!!
Aseeeeeeeeh

Inabidi kuita kikao cha familia.... wakeze wote tukutane tuamue adhabu ya kumpa ....wapi Kongosho, cacico

Mume keshaharibu huku
 
Last edited by a moderator:
Yaani hazbendi umetuangusha sana.... utachunwaje uzeeni??? Sasa wewe team bazazi au team kuchunwa hadi ngozi???

Acha tu....

Roho imeuma kuona le hazbendi ni bazazi zee....

Halafu anachunwa Tu... sasa bazazi atachunwaje? Si kuaibisha team bazazi na wakeze??

Inabidi kuita kikao cha familia.... wakeze wote tukutane tuamue adhabu ya kumpa ....wapi Kongosho, cacico

Mume keshaharibu huku

Wifey.... niko tayari kwa adhabu yoyote isipokuwa ile ya kunibaka kama mlivyonibaka siku ile....
 
Last edited by a moderator:
Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...

Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...
 
Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...

Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...
Mtani jirani watu wakapigia korasi jina lako ?
Hahahahahahahaha umezidi na wewe kuwa mhandiiiiii!!
Mekumiss!
 
11169901_764687343645723_766194815541333506_n.jpg Humu namo kuna mabo sana........ Naungoja huo mwisho niuone utakuaje? Ila nawe lara 1 kwa kujidai kubwa la majamba unataka kusema ulishindikanika kuliwa hapa? Ngoja nisubiri utasemaje kujihusu wewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom