lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #681
Mie nishakupa angalizo kitambo tu....angalia raia wasijechomoka na tendons za miguu yote ubaki kuiona michuchumio kwenye miguu ya wenzio...
Hahahaaaaaaaa! KWENYE SHANGA KULE NA VISOSA ULISALIMIKAAA? :lol: Ntu wa pwani wewe yakheeeeeeee!
