The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Mtani jirani watu wakapigia korasi jina lako ?
Hahahahahahahaha umezidi na wewe kuwa mhandiiiiii!!
Mekumiss!

Heheh...mtani hili lihaya lenye 'altezza' limeimbishia totoz kwa jina la jirani yako bana...

Mekumithi mno jirani...muzima weye bila shaka...
 
Hahahhaaaaaaaaaaaa! Mi simoooooo! SAHIVI DONT YOU THINK YOU NEED SOME NEW MEAT!:lol: Au na wewe yakheee wala mizogaaa?:tape2:

Hulalaaaaaaa....kwahiyo nanihii na kina nanihiii ndio mizoga eeeh....astaghafirulah laadhim
CC....tag mwenyewe


Aisee we loud killer ulipotelea wapi??


Nilikuwa nabemendwa na lara 1....kanizeesha vya kutosha huyu mtu maana hakuna anachojua zaidi ya migegedo heavy weight...
nakuona unawakilisha bazazi family....yule raia anaitwa Nicas Mtei yupo nchi hii?

Mie nishakupa angalizo kitambo tu....angalia raia wasijechomoka na tendons za miguu yote ubaki kuiona michuchumio kwenye miguu ya wenzio...

Hahahahaha...Story inaendelea ujue..sasa iko WP ya escape one...

Escape nilizidiwa ujanja na Mentor....this time around nimejipanga vizuri mnooooo.

Huyu Nicas Mtei na bazazi mwenzie KakaKiiza wanahitaji thread yao ya kujitegemea. Naandaa makabrasha nimrushie laramoko afanye mambo yake. Kutakuwa hakuna kuficha majina....

Hahahahaha.....hebu fanya hivyo faza ili panuke hapa....lara moko hebu pokea makarabrasha ya nyeti za watu.

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!! Uju Asprin utaniua kwa chekooo, kwa mambo yako ya kijingaaa. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nacheka na mengi humo ujue. iLA aSPRIN SIJUI UMELEWA SIJUI!:lol:


Hahahaaaaaaaa! KWENYE SHANGA KULE NA VISOSA ULISALIMIKAAA? :lol: Ntu wa pwani wewe yakheeeeeeee!

Hahahaahaaaaaaaaaa! Umeona ujitangaze una miwaya ili wakususie eeeeeh! Kweli mbinu zinabadilika.

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! Naona Silent Killer kawafanya mabazazi muonekane AMATEURS! Umemsahau MAXMALIPO! Nasikia nae yumo yumo, i ze dont know, hili la sahivi langu sio la silent killer!:lol:

Umeona sasa unavyoniharibia moves? Hili lilaji la kisirisiri halichelewi kunichukulia vimodo vyangu. Ila achukue wote aniachie miss neddy.

Duuuh MMU ni zaidi ya uijuavyo!!

Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...

Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...

swali....kazi....jibu...
 
Last edited by a moderator:
Yani nimecheka nilinuia kuamka saa tisa nisome hii habari maana nlijua sitapata nafasi.scene tatu zimenifutahisha sana,shanga,heart broker na lara1 na shoste.Aisee lara kwa scripts hizi vocha halali yako kabisaa
 

Mmmmh tuna assumption iliyofanana.
 
Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...

Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...

Bado dots zimegoma kuunganika kwangu
 
Huyo dume dada na mama mtu mzima sijui kwa nini tu kuna majina hayo yamekuja kichwani mmmmhhhh
 
Sjui wanajiskiaje kwa sasa haipendez kwa mtoto wa kike kufanya hayo tunajishushiaga heshima hatujui tu

wehu tuu

halafu wanatudharau sie walimu masikini yarabi
llooohh
acheni hizo wadada na wamama wote

umalaya sio dili wala nini!
oneni sasa mnajidhalilisha tu!na mnadhalilika pia

hongereni vidume vyote mnaowamega hawa wasiojielewa...!!
 
wehu tuu

halafu wanatudharau sie walimu masikini yarabi
llooohh
acheni hizo wadada na wamama wote

umalaya sio dili wala nini!
oneni sasa mnajidhalilisha tu!na mnadhalilika pia

hongereni vidume vyote mnaowamega hawa wasiojielewa...!!

Halaf kweli hata kwenye jamii waalim wa kike wanadharaulika na mengi kilichokizur n kujielewa tu na ukijiheshim hata wengine watakuheshim ila ukijiona wewe jamvi la wageni utakaliwa sana
 
Halaf kweli hata kwenye jamii waalim wa kike wanadharaulika na mengi kilichokizur n kujielewa tu na ukijiheshim hata wengine watakuheshim ila ukijiona wewe jamvi la wageni utakaliwa sana

Lakini hatuwezi kujua, pengine kwenye list kuna walimu pia
 
Halaf kweli hata kwenye jamii waalim wa kike wanadharaulika na mengi kilichokizur n kujielewa tu na ukijiheshim hata wengine watakuheshim ila ukijiona wewe jamvi la wageni utakaliwa sana

watajua wenyewe
sasa uliza hao wanaojiuza humu ukute wengine wala si walimu
si bora mie muuza juice na visheti haya je huyo muuza uchi
aiseee mambo magumu!
 
Kama watu wazima mnaandika mambo kama haya,mnategemea vijana wanaojiunga kila siku humu waige nini kama sio upuuzi huu?

Mnajidharilisha ndugu,naona jamiiforum imeshakuwa ni zaidi ya facebook.

Hili jukwaa linaitwa MMU, ulitaka ijadiliwe siasa? Pia Hakuna anaelazimishwa kuingia humu kama hapendi kinachojadiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…