The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Unavyodengua sasa khaaaaah!
Usisahau mi ndo ze lijendi wa MMU. Ukiendelea kuniletea utoto nakuondolea access ya kuingia hapa. Sema nisamehe babu kabla sijafungua mkanda wa sarawili yangu.
 
Ndio ujue namaanisha nini kwamba shimo la panya halizibwi kwa mkate.... shmbony shafo klemeeeeee...

CC Paloma

Hahahaaaa nimekuona nikacheka sana babu ODM!
Nahisi utakuwa unamjua bazazi mwenzio.....ning'atemo basi kasikio! Lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Usisahau mi ndo ze lijendi wa MMU. Ukiendelea kuniletea utoto nakuondolea access ya kuingia hapa. Sema nisamehe babu kabla sijafungua mkanda wa sarawili yangu.

Duuuuh! Mwaka huu ninalo, nitachimbwa mabiti mpaka nikome
 
Du!! Tokea imeanza sija-comment ngoja nikatafute neno la ku-comment nitarudi.
 
Kwahyo akaandika yeye akakutumia uiweke huku? Au mlionana sehem akakusimulia ukawa unaandika?

Angeileta yeye ingekuwa safi zaidi.

Ila huu uzi utaleta vurugu sana.

Sio wewe....????
 
ukifuatilia vzr utagundua haikuwa kimya kimya, maana walikuwa wanashare tena wanakaa na wapuuzi wenzie wanaambizana yule tayari yule hivi nk, sasa hapo unatetea nn? n this ni behaviour ya boys wengi, men wachache hawako hivyo.
Haya wazoefu,sie twapita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…