grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
matatizo gan? ebu waseme ukweli ivi mtu kama si ujinga utaanzaje kumvulia kyupi mtu wa mtandaon? na mbaya zaidi hajawai kukufanyia la maana?
Kama ni wa mtandaoni lakini amekufanyia la maana utavua?