The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Hahahahaha yani unabisha??? Ushahidi unautaka?? Haya huu hapa chini usome na uubishie mwenyewe



cc Kaizer, Mtambuzi
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:

What the heck!!! Hellll noooooo that cant be me, kweli umeniamulia hadi kutengeneza hiyo kitu!!!
 
Last edited by a moderator:
Interesting...

Inawezekana habari hii ikawa ni ya kweli lakini inawezekana pia ikawa ni hadith.

Huyo mwanaume anaona nisifa kujihusisha na mapenzi na utitiri wa wanawake..katika zama hizi za magonjwa. Well ni mtizamo wake, but ktk hadith za vijiweni na foolish age huenda huo ndio uana ume..

But si mbaya sana as Maisha ni vile mtu unavyochagua kuishi, na kila mtu atavuna kile alichopanda.

Mtazamo wangu.. maisha ni matamu sana ikiwa utazichukuliwa social network not too serious. Ina ladha na utamu wake hapa jf kutumia fake name at the same time kutokuonana na watu.. hizo jf party blah blah na zinipite tu.

Na enjoy kuwa sehemu ya jf member.. as anonymous
Katoto kaogaaaaa afu kachoyooooo....
 
Jamani its a free country katika story hii hakutajwa MTU, hisia , hisia sio nzuri. Watu wazima wako wengi.

Mi sijamhusi yeyote katika hiyo story trust me labda kama nimejichanganya kwenye maelezo na ndo maana kuna maandishi nimesema "haijalishi hii story ni ya kutunga ama la" and nikagusia baadhi ya matukio ya zamani yalonifanya niseme humu kuna washenzyyyyyy!!!

Huyo mama mtu mzima nimefikisha tu habari kuwa naye ipo siku watamuumbua (anajijua) ila sikumaanisha kuwa ndo yeye japo yaweza kuwa who knows??!!
Hapo kama ndiye basi kengele na ilie na kama sie basi basi ajue there is no way hatakuja aumbuliwe. Nimeongea hivyo maana aibu ya kuumbuka mmmmmmmhhh ni wachache wenye kuihimili.
 
Mmmmh!! Ndoa ni suala pana sn ila watu huchukulia lelemama

Mambo mengine watu wanayakuza tu.
Hapo ukimuuliza kama ameexperience tabia za hivyo mara ngapi kutoka kwa proffesions zingine utasikia oooh nimeshuhudia yamemkuta flani, sijui ndugu yangu, mara mjomba khaaaa watupisheeeeeee!

Ikibidi waanze kusomesha watoto zao ualimu ili watengeneze kizazi cha wake bora!

Hivi kumsema mume mbele ya watoto nako kunatokana na taaluma ya mtu kweli? Duhhhh ngachoka mie watu wanavyotishana aiseee!
 
Kazi kwelikweli.

Kama unavoona hapo kwenye EYE CANDY list inazidi kupungua, since Vin Diesel bado anajishauri, and i need a new PROJECT, a new DISTRACTION! How about i make you an OFFER YOU CANT REFUSE!!!!!!!!!:lol:. I will neither beg nor ask you twice. The offer is not negotiable. Take it or leave it.
 
Last edited by a moderator:
Mambo mengine watu wanayakuza tu.
Hapo ukimuuliza kama ameexperience tabia za hivyo mara ngapi kutoka kwa proffesions zingine utasikia oooh nimeshuhudia yamemkuta flani, sijui ndugu yangu, mara mjomba khaaaa watupisheeeeeee!

Ikibidi waanze kusomesha watoto zao ualimu ili watengeneze kizazi cha wake bora!

Hivi kumsema mume mbele ya watoto nako kunatokana na taaluma ya mtu kweli? Duhhhh ngachoka mie watu wanavyotishana aiseee!

HAHAHAAAAAAAAAAAA! They are used to being important in front of their STUDENTS all day everyday!:lol:
 
Back
Top Bottom