Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoto kaogaaaaa afu kachoyooooo....Interesting...
Inawezekana habari hii ikawa ni ya kweli lakini inawezekana pia ikawa ni hadith.
Huyo mwanaume anaona nisifa kujihusisha na mapenzi na utitiri wa wanawake..katika zama hizi za magonjwa. Well ni mtizamo wake, but ktk hadith za vijiweni na foolish age huenda huo ndio uana ume..
But si mbaya sana as Maisha ni vile mtu unavyochagua kuishi, na kila mtu atavuna kile alichopanda.
Mtazamo wangu.. maisha ni matamu sana ikiwa utazichukuliwa social network not too serious. Ina ladha na utamu wake hapa jf kutumia fake name at the same time kutokuonana na watu.. hizo jf party blah blah na zinipite tu.
Na enjoy kuwa sehemu ya jf member.. as anonymous
Mpaka uniamkie shkamoo babu yangu mpenzi.....:smile-big::smile-big::smile-big:Hivi mwisho wa haya yote ni nn??
Hahaaaaaaa
babu uniwacheeeee
Wanaume wasiojielewa ndo wapo hivyo by nature na wengi ni wale wenye league za kitoto. Kuna wale ambao ni very decent hawawezi kufanya huo ujinga.
Jamani its a free country katika story hii hakutajwa MTU, hisia , hisia sio nzuri. Watu wazima wako wengi.
Hapo ndio huwa sielewi akili za wanaume, cjui huwa wanaona sifa kusema nimetembea na fulani na fulani ama? Duuuh
Mpaka uniamkie shkamoo babu yangu mpenzi.....:smile-big::smile-big::smile-big:
hii stori haijaisha tu??
Mmmmh!! Ndoa ni suala pana sn ila watu huchukulia lelemama
My dearest sis,pls fungua PM yako.Kama utakua interested lakini, kama hutokua poa.
Ooooh nililala mdogo wangu sikuiona hii comment. Njoo mpendwa wangu dk 0 tu nafungua
Kazi kwelikweli.
Mambo mengine watu wanayakuza tu.
Hapo ukimuuliza kama ameexperience tabia za hivyo mara ngapi kutoka kwa proffesions zingine utasikia oooh nimeshuhudia yamemkuta flani, sijui ndugu yangu, mara mjomba khaaaa watupisheeeeeee!
Ikibidi waanze kusomesha watoto zao ualimu ili watengeneze kizazi cha wake bora!
Hivi kumsema mume mbele ya watoto nako kunatokana na taaluma ya mtu kweli? Duhhhh ngachoka mie watu wanavyotishana aiseee!
ila wabongo hii mitandao inatufanya tukuwa stupid kabisa...hivi mnafanya kazi huko bongo kweli aisee..