The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Kabla ya mlokole anza kwanza na ile stori inayokuhusu. lara 1 hebu mtiririshie huyu mchuchu ile segment yake kwenye hii series.... chapchap sana yani......:lol::lol::lol::lol::lol:

Hahahahaaaaaaaaaa! Usitake afe na pressure bila sababu. Kama watu wanavokuhisi Bazazi Zee, ndo unawahisi wenzio.

Honestlly Asprin kama waziri wa Social unadhani niiweke ile ya bi dada?:lol:
 
Last edited by a moderator:
ahhh hii umbeaz of the century,page no ngap,nna kisimu sion comment numbers,
ila kwa storiii bibieee ahhh hands up

Page ya 50,comment ya 1004. Usikose LEO USIKU NAFANYA MARK TIME KUSHUSHA YA COLLECTOR OF ORGASMS!:lol:
 
lara1 hiyo ya bidada mbona hudondoshi???? Mda ndo huu au saa nne ipi ulimaanisha???
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa! Usitake afe na pressure bila sababu. Kama watu wanavokuhisi Bazazi Zee, ndo unawahisi wenzio.

Honestlly Asprin kama waziri wa Social unadhani niiweke ile ya bi dada?:lol:
ahhhhhhh lara moko ujue umati unaanza kunchukulia tofauti unavosema ncje kufa kwa presha,...hemu taja PM kwanza incidence yoyote hahaha,Sinaaaa
 
Last edited by a moderator:
lara1 hiyo ya bidada mbona hudondoshi???? Mda ndo huu au saa nne ipi ulimaanisha???

Nimeomba kibali kwa waziri wa social Asprin, ndo nangoja approval nishaiandika pembeni, maana petitions zimekuwa nyingi kuwa italeta mushkeli.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa! Usitake afe na pressure bila sababu. Kama watu wanavokuhisi Bazazi Zee, ndo unawahisi wenzio.

Honestlly Asprin kama waziri wa Social unadhani niiweke ile ya bi dada?:lol:
Mi kuhisiwa mbona shega tu? Mi ndo ze lijendi. Sous: Laramoko

Ya bidada???..........heheheheheheee............. ngoja nikalale kwanza. Sitakishari Ukonga
 
Page ya 50,comment ya 1004. Usikose LEO USIKU NAFANYA MARK TIME KUSHUSHA YA COLLECTOR OF ORGASMS!:lol:

Ujue sijachemsha chupa nasubiria mpk sa hiz!
Heeem kuule!!
Mambo gani ya kuwekana hiv
Halaaaaafu hiv ndo kusema TB kakufa,hasomi,kapofuka au ana red eyes?
Hahahahahaha akinikuta hilo jibu lake nahs na umbea naacha!
 
Nimeomba kibali kwa waziri wa social Asprin, ndo nangoja approval nishaiandika pembeni, maana petitions zimekuwa nyingi kuwa italeta mushkeli.
Heheheheh..... mimi bhana mimi.... hebu ngoja kwanza..... Zenaaaa.... leta grants za bapa fastaaaaaa.... Kuna maamuzi magumu nataka kuchukua.... ODM anahusishwa na Zitto. daaadeki na robotatu.
 
Mi kuhisiwa mbona shega tu? Mi ndo ze lijendi. Sous: Laramoko

Ya bidada???..........heheheheheheee............. ngoja nikalale kwanza. Sitakishari Ukonga
We nae tulia!
Orgsm yako kama ulinywea uji.mesini.shsuri yako!wenzio wanazo hinhaaaa za kukolektika!
Kalale mbereeeee!
 
Heheheheh..... mimi bhana mimi.... hebu ngoja kwanza..... Zenaaaa.... leta grants za bapa fastaaaaaa.... Kuna maamuzi magumu nataka kuchukua.... ODM anahusishwa na Zitto. daaadeki na robotatu.

Embu na wewe toa le tamkoz watu tumekaa tunangojea ubuyu wa moto moto kabla haujapoa
 
isipoandikwa hii utafute pa kulala!
 
Duuuuuh!! Kweli umeniamulia mwaka huu, kwahiyo ndio umeamua kunikosanisha na wazee jamani?? Lini nilitamka hili? Kaizer laazizi kamu unisaidie hili

Njia ya mchepuko fupi
 
Last edited by a moderator:
We nae tulia!
Orgsm yako kama ulinywea uji.mesini.shsuri yako!wenzio wanazo hinhaaaa za kukolektika!
Kalale mbereeeee!
Kwikwikwiiiii.... mwalimu kasahihishe test za wanafunzi wako kule LOL

Embu na wewe toa le tamkoz watu tumekaa tunangojea ubuyu wa moto moto kabla haujapoa
Sema hakyamungu?? Uko desperate??? Nihakikishie utakesha nasi japo mpaka saa nane...

isipoandikwa hii utafute pa kulala!
Hahahahaha lara 1 ushaniuzia kesi huku..... kam zis wei nitoe tamko kabla sijalala...:welcome::welcome:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom