lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #1,001
Kabla ya mlokole anza kwanza na ile stori inayokuhusu. lara 1 hebu mtiririshie huyu mchuchu ile segment yake kwenye hii series.... chapchap sana yani......:lol::lol::lol::lol::lol:
Hahahahaaaaaaaaaa! Usitake afe na pressure bila sababu. Kama watu wanavokuhisi Bazazi Zee, ndo unawahisi wenzio.
Honestlly Asprin kama waziri wa Social unadhani niiweke ile ya bi dada?:lol:
Last edited by a moderator: