The most 10 useless graduate.


ni kweli mkuu.ila useless sio neno sahiihi,sitetei sababu nasoma hizo course hapana mi sisomi hizo course
 

source please
 
basi karibuni tuwe wanasheria sio useless
 
Kwa IS ( Information System ) ninakukatalia.
IS sasa ivi inatumika sana katika maswala ya kibiashara pamoja a kupunguza gharama za uendeshaji katika sector mbalimbali kwa ku imlement system mbali mbali. mfano ni e-commence, mobile banking hivi vitu vyote unapo zungumza ujue unazaungumzia IS. Pia ukipata mda jaribu kuangali kitu kinaitwa Walmart utajifunza zaidi kuhusiana na hii IS. Pia hata hizi theory Porter's Five Forces ambazo wanafanya biashara wakubwa wanatumia, wengi wao wanatumia principle za IS. Inshort huwezi zungumzia IT sector pasipo IS.

Pia Chemical Engeneering, hii inafanya kazi kila shemu.. kama Oil industry na kwingineko.

nafikiri mleta mada kuna kitu wawezekana umechanga katika kufikisha ujumbe wako.
 

IS ni chaka kwa sasa
 
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.
3. Information systems.
You must be joking about this profession
 
source please

Tomato au chili?

Mbona kilakitu kinajieleza, nisinge andika nilicho andika bila ya kuwa na chanzo, hii habari niliikuta bbc na wao wametoa kwenye hicho kitengo cha utafiti, soma vizuri sredi.
 
ni kweli mkuu.ila useless sio neno sahiihi,sitetei sababu nasoma hizo course hapana mi sisomi hizo course

Yeah useless ni neno kali sana likiwa na maana fulani.
Sijalibuni hilo nino ndivyo walivyo liandika waliofanya huo utafiti. "USELESS GRADUATES"
 
They must be joking, are you certain?
Yes sir.... IS professionals are among the core component of any performing organization... unless 'useless' had a different meaning when used in such study (the main topic of discussion)....!!
 
Yes sir.... IS professionals are among the core component of any performing organization... unless 'useless' had a different meaning when used in such study (the main topic of discussion)....!!

It is not about its importance, its about employment and salary.
 
It is not about its importance, its about employment and salary.
As long as the use of computing technology prevails... IS pros' have the market.. Salary.. to me .. is subject to the power of one's negotiations skills...
 

aridhi or ardhi ..? bt engineering ipi aliyosoma hapo ardhi
 

Itasaidia kama utatupa full citation ya hiyo report ili tuweze kuisoma na kupata both context na content ya hiyo report ili tuweze kutoa informed comments.
 

Baba wa babu yako aliishije?
 

Hapo kwenye chemical processing,na phamacy ondoa
 

aliyeiweka hiyo link naye ni binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…