AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Uko sahihi unachosema, ila wameangalia suala la salary and unemployment nadhani baadhi ya programe ni kazi sana kupata kazi na hata kama ukipata mshahara wake ni mdogo, mfano nmekutana na jamaa amesoma engineering aridhi amesota kupata kazi hivi sasa amejishikiza kwenye kufundisha na anasema wenzake walio ajiriwa wanalipwa mshahara mdogo sana kama 400 hivi wakati yeye huko aliko jibanza analipwa zaidi ya hapo.
Hizi degree programe zilizo ainishwa hapo kiukweli zina shida kwenye kupata kazi na hata ukipata unaweza ukawa unapata mshahara mdogo, mfano watu wa mass media sidhani kamaa wana mshahara mzuri kivile zaidi zaidi ni umaarufu tu ndio wanaupata na ukileta maringo wanakuruge.
ni kweli mkuu.ila useless sio neno sahiihi,sitetei sababu nasoma hizo course hapana mi sisomi hizo course