The most 10 useless graduate.

The most 10 useless graduate.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.

10. Human resource and personel development.

9. Criminal justice and fire protection.

8. Commercial art and graphic design.

7. Music.

6. Mass media.

5. Marketing and market research.

4. Chemical engineering.

3. Information systems.

2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.

1. Language and drama education.

Kuna raia wanasimamia kucha kuhitaji link ya hii tafiti.
Nnajiuliza hapo juu nmeandika jina la kituo kilicho fanya utafiti, sasa mnashindwa kufuatilia wenyewe? Maana kama huamini inabidi ufuatilie na ukiona sio kweli unatoa hoja ya kupinga.

Ok nmewaletea link hii ingieni mtafute.

http://www.businessinsider.com.au/the-10-most-useless-graduate-degrees-2013-9.
 
Sijakufahamu mkuu hembu nidadavulie kwa kutumia ile lugha ya kule kwetu pwani. Yenye mchanganyiko wa kibantu na kiarabu. Kiinglishi huwa kinanipaga tabu kukielewa kaka.
 
Inabidi tuombe msaada wa walimu wa kiingereza na kiswahili, mie najua sayansi tu.
 
Useless graduates or useless degrees or jobs? Jamani mbona tuna lugha yetu ya hapa nyumbani? Duh, snura
 
Sijakufahamu mkuu hembu nidadavulie kwa kutumia ile lugha ya kule kwetu pwani. Yenye mchanganyiko wa kibantu na kiarabu. Kiinglishi huwa kinanipaga tabu kukielewa kaka.

fasihi inasema.. ukiona huelewi, haikuwa yako hiyo!
 
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.

10. Human resource and personel development.

9. Criminal justice and fire protection.

8. Commercial art and graphic design.

7. Music.

6. Mass media.

5. Marketing and market research.

4. Chemical engineering.

3. Information systems.

2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.

1. Language and drama education.

Acha Ujinga Wako Hiyo Namba 6 Nadhani Imekosewa au Waliofanya Utafiti Wake ni Wapumbavu Kuliko Binadamu Wote Duniani. Hivi ni Nani Ambaye Hafuatilii Redio au Runinga au Kununua na Kusoma Magazeti na Machapisho Mbalimbali? Sasa Itakuwaje Ni Useless Wakati Inategemewa na Public Kiujumla? Zingine Zote Ni Mbaya ila Mass Media Ni Very Vital.
 
yaweza kuwa sahihi tegemea na nchi husika kwa tz ni opposite
 
Sijakufahamu mkuu hembu nidadavulie kwa kutumia ile lugha ya kule kwetu pwani. Yenye mchanganyiko wa kibantu na kiarabu. Kiinglishi huwa kinanipaga tabu kukielewa kaka.

Mmh, kazi kweli kweli. Kwamba gaduates wa fani hizo wako bench either kwa muda mrefu bila ajira na au ajira hamna na au hata wakipata ajira au wakikosa hamna shida au madhara. Lakini pia kwamba slip za mishahara yao kwa wengi wao imeonekana si lolote si chochote! Ina maana kwa huko kwao hata hiyo list MASS MEDIA haina dili? Chemical Engineering( Chemical Processing) hata hapa siyo wengi,ila kwa maslahi nadhani kwa Tanzania wako poa.
 
Acha Ujinga Wako Hiyo Namba 6 Nadhani Imekosewa au Waliofanya Utafiti Wake ni Wapumbavu Kuliko Binadamu Wote Duniani. Hivi ni Nani Ambaye Hafuatilii Redio au Runinga au Kununua na Kusoma Magazeti na Machapisho Mbalimbali? Sasa Itakuwaje Ni Useless Wakati Inategemewa na Public Kiujumla? Zingine Zote Ni Mbaya ila Mass Media Ni Very Vital.
Soma vizuri sababu walizo zitumia, kitu kingine ukiona shida ingia website yao na ubishane nao, mie nmesoma nkashangaa na ilikuwa ni moja ya habari bbc so kama hutaki kujiexpose ng'ang'ania msimamo wako.
You are supposed to face the world and not Tanzania.
 
Acha Ujinga Wako Hiyo Namba 6 Nadhani Imekosewa au Waliofanya Utafiti Wake ni Wapumbavu Kuliko Binadamu Wote Duniani. Hivi ni Nani Ambaye Hafuatilii Redio au Runinga au Kununua na Kusoma Magazeti na Machapisho Mbalimbali? Sasa Itakuwaje Ni Useless Wakati Inategemewa na Public Kiujumla? Zingine Zote Ni Mbaya ila Mass Media Ni Very Vital.
teh teh teh kazi ipo kwa wenye fani zao
 
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.

10. Human resource and personel development.

9. Criminal justice and fire protection.

8. Commercial art and graphic design.

7. Music.

6. Mass media.

5. Marketing and market research.

4. Chemical engineering.

3. Information systems.

2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.

1. Language and drama education.

Nadhani umevurugwa!
 
Hiyo pharmacy,pharmaceutical sciences & administration kwa hapa kwetu ni suala la muda tu!watahaha sana mitaani na vyeti kwani wanagraduate wengi sana na serikali haiwahitaji sana kwani hata wakiwa hospitali wanafanya kazi ambazo hata muuguzi anaweza kuzifanya ingawa wao hawawezi kufanya kazi yoyote zaidi ya kugawa dawa kwa mgonjwa!Mambo mengine ni mbwembe tu!Ila kuhusu Mass media inategemea sana competence yako!kama una kipaji na ubunifu utaipenda

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Acha Ujinga Wako Hiyo Namba 6 Nadhani Imekosewa au Waliofanya Utafiti Wake ni Wapumbavu Kuliko Binadamu Wote Duniani. Hivi ni Nani Ambaye Hafuatilii Redio au Runinga au Kununua na Kusoma Magazeti na Machapisho Mbalimbali? Sasa Itakuwaje Ni Useless Wakati Inategemewa na Public Kiujumla? Zingine Zote Ni Mbaya ila Mass Media Ni Very Vital.
hizo inawezekana ni unemploment yake kubwa lakini si useless .kwani bisi wako wa hunam resourse ni useless?hamna ambayo ni useless unayoona uselesss kwako kwa wengine usefull.hata garden management ni usefull
 
tru dat lets say kuna uhaba wa employment kwa side ya hzo koz kwa bongo but not useless
 
hizo inawezekana ni unemploment yake kubwa lakini si useless .kwani bisi wako wa hunam resourse ni useless?hamna ambayo ni useless unayoona uselesss kwako kwa wengine usefull.hata garden management ni usefull

Uko sahihi unachosema, ila wameangalia suala la salary and unemployment nadhani baadhi ya programe ni kazi sana kupata kazi na hata kama ukipata mshahara wake ni mdogo, mfano nmekutana na jamaa amesoma engineering aridhi amesota kupata kazi hivi sasa amejishikiza kwenye kufundisha na anasema wenzake walio ajiriwa wanalipwa mshahara mdogo sana kama 400 hivi wakati yeye huko aliko jibanza analipwa zaidi ya hapo.

Hizi degree programe zilizo ainishwa hapo kiukweli zina shida kwenye kupata kazi na hata ukipata unaweza ukawa unapata mshahara mdogo, mfano watu wa mass media sidhani kamaa wana mshahara mzuri kivile zaidi zaidi ni umaarufu tu ndio wanaupata na ukileta maringo wanakuruge.
 
"Useless" dah! Ili neno naona kama limekua kali sana.!!
 
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.

10. Human resource and personel development.

9. Criminal justice and fire protection.

8. Commercial art and graphic design.

7. Music.

6. Mass media.

5. Marketing and market research.

4. Chemical engineering.

3. Information systems.

2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.

1. Language and drama education.
Pharmacy kumbe jau nayo!
 
Back
Top Bottom