The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

Dogo Hashimu,Nikki Mbishi,Nash Mc,FID Q,JCB,Chindo man(kwa mbali) nyimbo zake kama "Nyoka" ni kwere sana haina mafong'ong'o ,Jay Mo.
New comers; Songa,One incredible,P the Mc
 
One incredible na nikki mbishi are the most skilled rappers if we talk about skills, meaning utunzi, wordplays, rhymes and flows.
Nikki mbishi anakuwa bora zaidi b'cz anajua kufreestyle sana tofauti na wasanii wengi wakubwa wa hip hop. Fid is also skilled and he's good with rhymes, flow na utunzi ( bila kusahau misemo ) but when it comes to wordplays he can't stand the comparison with nikki au one.
 
List yangu ya wakali Hip Hop
1.Nash mcee
2.Kala Jeremiah
3.Fid Q
4.Nikki mbishi
5.Bonta
6.Roma
7.Nyokaa
8.Lord eyezz
9.Jcb
10.Jay moo
 
...the most skilled & of all time!...teh hee hee;
..utoto raha sana!
 
kwanini Joh makin hayupo katika list hii?
Hit single za Jcb ni ngapi hadi kuingizwa katika list tena nafasi za juu kabisa?
mara ya mwisho Jcb alitoa hit tanfu lini
Ni list binafsi kwa hiyo na wewe unaweza kuja na ya kwake uweka na vigezo ulivyotumia
 
FID Q hajawahi kuniangusha! Kwangu ni top kwenye list ya matycoon na manyalali wa hip hop bongo.

Msukuma pekee mjanja na asiyehitaji kuuliza..wasukuma wengine muwe mnauliza tu!
 
Wanasema sababu moja ya kihistoria ya Afrika kubaki nyuma ni kutorekodi mambo ya nyuma, vizazi vipya havijui yaliyotokea hivyo havijui vianzie wapi walipoishia mababu. Kumbukumbu yetu kwa luminaries and pioneers of hip hop ya Tanzania inaenda miaka mitano, kumi, iliyopita, imegota.
 
Back
Top Bottom