Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof ni slick Rick wa bongo... Jamaa ni greatest storyteller of all time kwenye game ya bongoWhaat?profesor jay!! Au sijaona vizuri
Wewe utakua una walakini katika chambuzi zako.Hashimu dogo is overrated, he was just a normal emcee, the good thing about him, is he was able to spit in two verbals (english and swahili) perfectly. But when it comes to skills, kawaida sana.
Mr II?? No way, huyu jamaa ashukuru tu alitoka kipindi hip hop was not over clouded with too many skilled emcees. He gat "no" flow and has wack rhymes.
Joh makini is out of the game on this ground, he is good but not like these emcees when it comes to skills. But in making hits, he is on top of the game.
MKUU NIMEKUELEWA , inaelekea game unaijua vizuri saana, Vipi kuhusu SAIGON ,LANGA , BALOZI ?Hashimu dogo is overrated, he was just a normal emcee, the good thing about him, is he was able to spit in two verbals (english and swahili) perfectly. But when it comes to skills, kawaida sana.
Mr II?? No way, huyu jamaa ashukuru tu alitoka kipindi hip hop was not over clouded with too many skilled emcees. He gat "no" flow and has wack rhymes.
Joh makini is out of the game on this ground, he is good but not like these emcees when it comes to skills. But in making hits, he is on top of the game.
Mkuu apa tunaongelea skills za hip hop emcees. Sijawadis hao marapper bu what i mean is when it comes to comparison they dont stand a chance na akina prof jay, jay mo, nikki mbishi, one, fid, afande, solo etc.Wewe utakua una walakini katika chambuzi zako.
Labda weka vigezo vya Mc wa kweli then tuangalie kama hawa uliowadis hapa juu wanavyo au hawana
Hivi Afande nae anafanya Hip hop??Mkuu apa tunaongelea skills za hip hop emcees. Sijawadis hao marapper bu what i mean is when it comes to comparison they dont stand a chance na akina prof jay, jay mo, nikki mbishi, one, fid, afande, solo etc.
I can't put hashim dogo(nimechagua hashim cz naona ndo unampigia chapuo) on my list eti kwa sababu akina nikki wanamsifiaga, in reality most people who keep on overrating hashim ukiwaambia wataje ata nyimbo kumi za hashim, most of the wataishia kutaja freestyle zake na ile shadow of dark destiny ambazo huwezi kucompare ata kidogo na singles za one au nikki au fid.
Joh nimesema he is fine but he lacks conciousness in his lyrics, of which we know concious "mostly" comes with skills.
Tatizo la Mwanafa anaimbia sana mademuMwana FA wa zamani sio wa sasa!
Nimeikumbuka hii mistari,
Hivi vitu viko wazi, kama vazi la kahaba,
Nasambaza maradhi, halafu nakupa Siku 7,
Machozi ni haba, Uokozi ni Njozi baba,
Ulimwengu wa Saba, Jehanam ya aina yake,
Kipe kitu kikupe, kikutupe kupe akikunyonya damu kwa hamu,
Kama hujafaham, DOGO mwanaharam,
Kalam inamwaga damu,
Nakuacha mweupe ka' mkorogo,
Chata ka' wagogo,
Wabongo acheni nyodo,
Wote mnakula hongo,
Hivi hii ni Serikali,
Au Sera Kali kwa mbali,
Au sera za mali,
Ni ipi, tafakari, nakufa kiume,
Tunapokwenda pana Zali,
Vichaa wangu walume wananyaka hiyo hali,
Tujitume, Pesa tuchume, kwa mwezi tudake,
Utake usitake, kila mjuba sasa kivyake mifuko itune,
Kama hujipendi njoo nichune, wabongo roho ziume,
Kama hufiki, usijikune,
Hivi inatiki,
Kila siku ya wiki,
Ikipata karatasi, wino hutoka kwa kasi,
Basi nina wasiwasi, kwa haya nawahasi,
Kiu ya Jicho, ulicho nacho ndicho ulicho,
Bongo ni Kama ficho, ya huwezi huchezi na anga,
Tokea '78 wabongo wamefunga mkanda!!
Kazi kazi ni kazi gani ile? Au ule mchiriku wakipindi kile?to plain story, cant be a great hiphop huwezi mcompare na kubanda. Prof unge mpa nafasi ya tanoProf ni slick Rick wa bongo... Jamaa ni greatest storyteller of all time kwenye game ya bongo
TRUE THAT I always wonder why Mr II anapewa heshima sana katika mziki huu wa HIP HOP up to now wakati kipindi chake kilisha pita kitambo sana. To be honest hata kwa STEREO hasimami kuanzia FLOW mpaka Utunzi wa mashairi!Hashimu dogo is overrated, he was just a normal emcee, the good thing about him, is he was able to spit in two verbals (english and swahili) perfectly. But when it comes to skills, kawaida sana.
Mr II?? No way, huyu jamaa ashukuru tu alitoka kipindi hip hop was not over clouded with too many skilled emcees. He gat "no" flow and has wack rhymes.
Joh makini is out of the game on this ground, he is good but not like these emcees when it comes to skills. But in making hits, he is on top of the game.
Unajua what makes this discussion harder, ni difference in generations/era in hip hop kwa apa tanzania.MKUU NIMEKUELEWA , inaelekea game unaijua vizuri saana, Vipi kuhusu SAIGON ,LANGA , BALOZI ?
Saa za kazi -Afro Reign ft_DogoIn The Shadow of The Dark Destiny............!!!!!!!!!!!!!!!!!