Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
ahahahahahUkiskia paah ft Jaymoe &fid q..Bwii ft jambo squad
Usisahau na billnasIfuatayo ni list ya wasanii Wa hiphop wenye majina makubwa lakini uwezo wao ni mdogo
1) KALAPINA
2) MR II (SUGU)
3)BOU NAKO
4) JAFARAY
5) IZO BUSINESS
6)FIDO
7) KR MULLAH
8) RICH ONE
Hadi kiranga mwana hip hop! [emoji106] [emoji106] [emoji106]Chaba Baba Mkubwa is one of the most underrated MCs in Bongo
Album anazo zaidi ya tatu peke yake na Mbili za watengwa km crew...bro JCb ni habari nyingine uliza ma mc wanavyo mhanya kwa uwezo alonaoahahahahah
yaani nyimbo mbili tu eti ashaqualify kuwa rapper of all time kweli!?
au labda kuna hitsingle nyingine, halafu ni mkongwe uyu vp ashatoa album ngapi maana enzi izo album zilikuepo
sawa lakin kwanini album zote hizo hit single ziwe mbili tu?Album anazo zaidi ya tatu peke yake na Mbili za watengwa km crew...bro JCb ni habari nyingine uliza ma mc wanavyo mhanya kwa uwezo alonao
Sijui kama lunduno bado inaendelea baada ya kutoka Nikk Mbishi maana najua ilikiuwa na wasanii kama HOOD C, SHASHO, ALJEBRA na wengine but nao pia wako vizuri sema kama game la sasa la kibongo ni vigumu kuwafahamu kama utategemea media tu kama source yako kujua kinachojili kwenye music industry especially HIP HOPLunduno, Mexicana siwajui kabisa hebu tupia single zao
Hizi zilikuwa ni crew ambazo hazikudumu sana kwenye game, ila i can tell their short existance had an impact kwenye hip hop. Na kuna kipindi flani hizi crew mbili zilikuwa na migogoro, some sort of a beef.Lunduno, Mexicana siwajui kabisa hebu tupia single zao
mkuu kama unategemea kujua ukali wa JCB kwa kupitia radioni basi Ni sahihi kuandika ulichoandikaSasa JCB kafata nini hapo? Bora ungemuweka ONE INCREDIBLE
Maan ya list binafsi ni kwamba ni kwamba ni kwa mtazamo wake. Lengo la JF ni kubadilishana mawazo. Sasa kivipi akae na mawzo yake? Mbona mnakuwa na jazba za kitoto?Kama ni list binafsi akae nayo kwake!
Solo thang nilimkubali kwenye albamu yake ya "Homa ya Dunia" humo ndo mwanaume aliimba ndomana unaona hata kwenye nyimbo aloshirikishwa ya mtazamo alinata hadi unamkubali,ila baada ya hapo anaimba utumbo tuNaona watu wengi wamemsahau
SOLO THANG
Huyu jamaa ni nguli na nimwandika mashairi mzuri sana na anajua Ku stick kwenye point
Stamina ni comedian rapper anatumia misemo ya vijiweni sana kuteka hadhira..Lord eyez nilimpa 5 kwenye wimbo wa "Hawatuwezi" walioimba kama kundi ukimsikiliza kwenye hiyo nyimbo utakubali he is good,ila nadhani sembe ndo imempoteza kwenye mziki hawezi rudi tena tukafaidi radha ya muziki wakelord eyes na stamina hawapo