The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

Ukiskia paah ft Jaymoe &fid q..Bwii ft jambo squad
ahahahahah
yaani nyimbo mbili tu eti ashaqualify kuwa rapper of all time kweli!?
au labda kuna hitsingle nyingine, halafu ni mkongwe uyu vp ashatoa album ngapi maana enzi izo album zilikuepo
 
Sasa JCB kafata nini hapo? Bora ungemuweka ONE INCREDIBLE
 
Ongeza na hawa hapa

LANGA,
Albert Ngwair,
Nash MC,
Mr. II (Sugu),
Afande Sele,
Roma Mkatoliki,
Mwana FA
Kalapina, & Stereo
 
1.Fid q

•ujuzi mwingi katika mashairi.
• mashairi magumu ila yana ujumbe mzuri sana.

2. Lord eyes

•sauti nzito ya kuimba hip hop
•uandishi mzuri wa mashairi.

3.Niki mbishi

4. Chid benzino

5. Profesa Jay.
 
ahahahahah
yaani nyimbo mbili tu eti ashaqualify kuwa rapper of all time kweli!?
au labda kuna hitsingle nyingine, halafu ni mkongwe uyu vp ashatoa album ngapi maana enzi izo album zilikuepo
Album anazo zaidi ya tatu peke yake na Mbili za watengwa km crew...bro JCb ni habari nyingine uliza ma mc wanavyo mhanya kwa uwezo alonao
 
Album anazo zaidi ya tatu peke yake na Mbili za watengwa km crew...bro JCb ni habari nyingine uliza ma mc wanavyo mhanya kwa uwezo alonao
sawa lakin kwanini album zote hizo hit single ziwe mbili tu?
 
Lunduno, Mexicana siwajui kabisa hebu tupia single zao
Sijui kama lunduno bado inaendelea baada ya kutoka Nikk Mbishi maana najua ilikiuwa na wasanii kama HOOD C, SHASHO, ALJEBRA na wengine but nao pia wako vizuri sema kama game la sasa la kibongo ni vigumu kuwafahamu kama utategemea media tu kama source yako kujua kinachojili kwenye music industry especially HIP HOP
 
Lunduno, Mexicana siwajui kabisa hebu tupia single zao
Hizi zilikuwa ni crew ambazo hazikudumu sana kwenye game, ila i can tell their short existance had an impact kwenye hip hop. Na kuna kipindi flani hizi crew mbili zilikuwa na migogoro, some sort of a beef.
Lunduno ilikuwa na akina nikki mbishi, shasho, algebra, stereo, hood c na wengine wasio fahamika (suma mnazaret sina uhakika sana kama alikuwa member, wajuzi wanijuze apa), though later on nikki na stereo walijitoa. I heard lunduno ipo lakini now days they're underdog emcees kwenye game.
Mexicana kulikuwa na akina baghdad, climax bibo, mensen na wengine wasiojulikana sana( i guess chibwa alikuwepo, though anafanya dance hall, and am not so sure with fido) na walitoa hit song moja ivi inaitwa "kamba 2 kamba".

At least that is what i know
 
Sasa JCB kafata nini hapo? Bora ungemuweka ONE INCREDIBLE
mkuu kama unategemea kujua ukali wa JCB kwa kupitia radioni basi Ni sahihi kuandika ulichoandika
mind u JCB Ni habari nyingine kabisa
 
Naona watu wengi wamemsahau
SOLO THANG
Huyu jamaa ni nguli na nimwandika mashairi mzuri sana na anajua Ku stick kwenye point
Solo thang nilimkubali kwenye albamu yake ya "Homa ya Dunia" humo ndo mwanaume aliimba ndomana unaona hata kwenye nyimbo aloshirikishwa ya mtazamo alinata hadi unamkubali,ila baada ya hapo anaimba utumbo tu
 
lord eyes na stamina hawapo
Stamina ni comedian rapper anatumia misemo ya vijiweni sana kuteka hadhira..Lord eyez nilimpa 5 kwenye wimbo wa "Hawatuwezi" walioimba kama kundi ukimsikiliza kwenye hiyo nyimbo utakubali he is good,ila nadhani sembe ndo imempoteza kwenye mziki hawezi rudi tena tukafaidi radha ya muziki wake
 
Back
Top Bottom