Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Naheshimu mtizamo wako.Mkuu, Magufuli alikuwa hamkubali Samia kiutendaji hata kidogo. Ila kwa vile alikuwa ni mtu mpenda kunyenyekewa na kusifiwa, na Samia alijua kufanya hivyo, basi akaamua kuendelea naye kwani hakujua kuwa anaweza kufariki mapema hivyo. Alidhani atamaliza muda wake wa urais na kumweka mtu atakayemtaka yeye. Kwa kifupi alijisemea kuwa ''huyu mwache tu, madhali nguvu zote ziko kwa rais na ananitii, hakuna shida. Kuna habari kuwa Magufuli alizidiwa ghafla hivyo akashindwa kufanya maamuiz yoyote, lakini angekuwa ameugua ugonjwa usioua ghafla, basi kungekuwa na mabadiliko kabla hajafa.
Corruption impunity!Nchi ambayo mwizi wa mali za umma anaitwa mtoto wa mjini...
Na wanaotakiwa kuzuia wanakuja kulalamika mitandaoni...
Tutanyooshwa sana..
Kuna mambo mengine mnatia mashaka sana na bongo zenu.Wale jamaa waliotaka katiba ipindishwe 2021 walikua sahihi sana. Vizazi vitakuja kuwakumbuka sana.
Chini ya Ndugai ?Mlaumu mkuu wa majeshi. Japo timu Mgufuli nayo haikuwa safi na ilitaka kuweka mtu wake kwa sababu ya maslahi binafsi tu, lakini sidhani kama wangeuza Tanganyika kama inavyofanywa sasa.
Haikuwa Ndugai.Chini ya Ndugai ?
Walitaka kumweka Nani ?Haikuwa Ndugai.
Inasemekana walitaka uchaguzi urejewe kwani waliamini Samia hana upeo wa kuiongoza nchi.Walitaka kumweka Nani ?
Kama hawakutaka kuheshimu hata katiba wangeheshimu nini kingine ?Inasemekana walitaka uchaguzi urejewe kwani waliamini Samia hana upeo wa kuiongoza nchi.
Si mliona jinsi Rostam azizi alivyosimama majukwaani kwa hoja za ovyo kutetea kuporwa bandari zetu zote na dubai? Eti msipozalisha kitu hamli kitu kwa hivyo tuwape waarabu bandari zetu. Yaani tusomeshe watoto wetu umeneja na ufundi waletwe mameneja na mafundi wafilipino nchini. Yaani tuwe watazamaji tu hatuwezi hata kujua muwekezaji anaingiza faida kiasi gani kwa hivyo tudai kulipwa ngapi. Ule mkataba Adam Malima alisema hata haufai kwa kulumangia ugali ndio rostam aziz alitoka huko anajificha kuja kutetea. Asante sana Adam Malima kwa uzalendo wako. Yule mama supika yeye akatuita wenye kupinga huo mkataba wapumbavu. Wananchi wataamua hatima yake.Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Ndiyo maana nikasema walifanya hivyo kimaslahi zaidi. Magufuli mwenyewe alikuwa haheshimu katiba. Samia naye hivyo hivyo.Kama hawakutaka kuheshimu hata katiba wangeheshimu nini kingine ?
Very true tatizo liko hapoJambo la kusikitisha ni kwamba hata ya kufumuka wataendelea kula na la kufanya hamna. Unajua kuna muda unafika viongozi wanasema hata wakijua watafanya nini.
Sijaelewa kitu
Utawala huu wa awamu ya 6 umekuwa na yaleyale mambo ya hovyo yaliyofanywa na awamu ya 4 ya Kikwete!Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Mama sa100 ana haki kikatiba na anaupiga mwingi nchi imetulia inapiga hatua kimaendeleo kila mtu anaona japo napenda sana akope matrilioni amalize kwanza kujenga SGR Dar-Mwanza/Kigoma pesa yote itarudi aache kwanza miradi mingine atakuwa bonge la Rais wa mfano Afrika maana tutapiga pesa nyingi mno kusafirisha haraka mizigo ya nchi jirani na kuwa super power East Africa. Kenya walijenga SGR yao ili kuua bandari zetu na uchumi wetu bahati nzuri reli ikaishia njiani sijui Naivasha kwa ufisadi wa kutisha , otherwise mda huu tungekuwa tunawaamkia shikamoo jogoo.Nani alipaswa kuwa raisi kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Hizo conn hatuzioni ndio maana tunabwatuka labda watatuona na sisi ili nasi tuanze kuimba wimbo mmoja wa mapambio πππWafuwazikewafuuwwaooo wachawalee mkuu tafuta conn na wewe
Yaani.... Tunaishia kusikikitika... Nchi hii ngumu mnoo...Sana tena walianza Mama Abdul akiwa Vice P. Kwa nchi inayojitambua, Mama hakuwa na sifa za kuwa Raisi. Naona muendelezo, watakomba kila kitu. Watanzania sijui tulikosea wapi!!!