Hilo lilikuwa wazi kitambo sanaDikteta kumbe alikuwa ni mgonjwa bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo lilikuwa wazi kitambo sanaDikteta kumbe alikuwa ni mgonjwa bhana
Nguvu ya kuwa donor country hakuwa nayo. Ni maneno ya kupumbaza watu.Yule alikuwa anapenda kujipa hata asivyokuwa navyo. Je kweli TZ ilikuwa donor country? Ukweli ni kuwa hakuwa na nguvu hizo
Yule hakuwa sawasawa upstairUnachanganya madesa
Two different contexts
He was a dreamer and a doer
He did recommended dr samia… doer
He did boast that e are a donor country … dreamer
Our "systems" are very corrupt and what do you expect chief?!Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ya kufumuka wataendelea kula na la kufanya hamna. Unajua kuna muda unafika viongozi wanasema hata wakijua watafanya nini.
Tatizo siyo sheria. Tatizo ni kulindana au niseme ngazi ya juu wote ni mafisadi. Wangekuwa wanafungwa hata mwaka mmoja au kupigwa faini tu na kurudi mitaani kufanya tena makosa hapo ndiyo ungesema tatizo ni sheria.Sheria zetu ni mbovu hawa wahuni ilibidi wawajibishwe kama China wanavyofanya kwa mafisadi
Mlaumu mkuu wa majeshi. Japo timu Mgufuli nayo haikuwa safi na ilitaka kuweka mtu wake kwa sababu ya maslahi binafsi tu, lakini sidhani kama wangeuza Tanganyika kama inavyofanywa sasa.Sana tena walianza Mama Abdul akiwa Vice P. Kwa nchi inayojitambua, Mama hakuwa na sifa za kuwa Raisi. Naona muendelezo, watakomba kila kitu. Watanzania sijui tulikosea wapi!!!
Mbona unaogopa kusema? Sema wauawe hadharani kwa kunyongwa.Sheria zetu ni mbovu hawa wahuni ilibidi wawajibishwe kama China wanavyofanya kwa mafisadi
Wako kwenye listi ya unafaika. Unajua mama alichofanya ni kachia kila mtu ''kula kwa urefu wa kamba yake'' ili asiwepo atakayehoji.Kwani vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi gani? Sielewi .!
Kama wao wanabariki hayo, basi wamejiridhisha nchi iko salama.
Uko sahihi mkuuTatizo siyo sheria. Tatizo ni kulindana au niseme ngazi ya juu wote ni mafisadi. Wangekuwa wanafungwa hata mwaka mmoja au kupigwa faini tu na kurudi mitaani kufanya tena makosa hapo ndiyo ungesema tatizo ni sheria.
Shida ni kuwa hawakamatwi kabisa na wanaachiwa kufanya walitakalo. Hii ina maana hata ukiweka sheria ya kunyonga wataonyongwa watawakuwa watu wadogo kabisa na wao hawatakamatwa.
Ndo maana nikasema sheria bado ñi mbovu. Kwenye swala Zima la ufisadi hakuna sheria ya mtu kunyongwa isipokuwa kufungwa basi.Mbona unaogopa kusema ? Sema wauawe hadharani kwa kunyongwa.
Sasshivi ndo naelewa akina dhamira ya akina Bashiru na TISS aliyekuwepo kupinga Samia kupewa Urais,,ila ndo katiba ikabidi Generally asimamie katiba hata kama limtu lenyenwe ni viviu hatintunaibiwa kwa kutumia mkono wakeMoja ya project zetu za hovyo za kufanya experiment za uongozi. This project has failed miserably. Na waliofanya hii project sijui wanajisikiaje
CCM walimlazimisha,hatayeye aliwahi kusema kuwa alipensa Hussein Mwinyi awe makamu wake lakin akina kikwete na kinana wakalazinishaHuyo alikua msaidizi wa magu
… meaning kama ni lawama apewe magu
You want to glorify one person by you don’t want to associate him with his most important choice he ever made
Magufuli ndiye aliyetupa zawadi ya Samia…. Kuna kitu aliona
Naamini kipo
Wamejipanga tangu Enzi wanapokezana vijiti tu !Eehhh!
Tunashukuru Sana
😳🙄Our "systems" are very corrupt and what do you expect chief?!
Kuna scenario moja ambayo watanzania wengi hawaielewi. Ukitaka kuwa na viongozi wanaowajibika unatakiwa kuwa kufanya jambo moja tu: Kiongozi aliye madarakani anatakiwa awe na hofu na kuwe na uwezekano wa kuondolewa kwenye madaraka katika uchaguzi utakaofuata kama hatawajibika na kama alifanya makosa, kuwe na uwezo wa kumshtaki. Hili ni muhimu sana na litawezekana tu kwa kuwa na mfumo wa haki wa uchaguzi.Na ili Tanzania ikae sawa, lazima waje watu wapya wenye fikra tofauti na hawa wanaotuona hatuna akili. Sijui watatoka wapi ila watakuja. Tena wanaweza kuja wakisindikizwa na radi na mafuriko.
Yangu macho....
Nguvu ya kuwa donor country hakuwa nayo. Ni maneno ya kupumbaza watu.
Kukataa mgombea mwenza kulihitaji nguvu gani?
Sheria Mama ni Katiba ndio pekee inayoweza kurekebisha hayo mapungufu !Kuna scenario moja ambayo watanzania wengi hawaielewi. Ukitaka kuwa na viongozi wanaowajibika unatakiwa kuwa kufanya jambo moja tu: Kiongozi aliye madarakani anatakiwa awe na hofu na kuwe na uwezekano wa kuondolewa kwenye madaraka katika uchaguzi utakaofuata kama hatawajibika na kama alifanya makosa, kuwe na uwezo wa kumshtaki. Hili ni muhimu sana na litawezekana tu kwa kuwa na mfumo wa haki wa uchaguzi.
Mkuu, Magufuli alikuwa hamkubali Samia kiutendaji hata kidogo. Ila kwa vile alikuwa ni mtu mpenda kunyenyekewa na kusifiwa, na Samia alijua kufanya hivyo, basi akaamua kuendelea naye kwani hakujua kuwa anaweza kufariki mapema hivyo. Alidhani atamaliza muda wake wa urais na kumweka mtu atakayemtaka yeye. Kwa kifupi alijisemea kuwa ''huyu mwache tu, madhali nguvu zote ziko kwa rais na ananitii, hakuna shida. Kuna habari kuwa Magufuli alizidiwa ghafla hivyo akashindwa kufanya maamuiz yoyote, lakini angekuwa ameugua ugonjwa usioua ghafla, basi kungekuwa na mabadiliko kabla hajafa.Nguvu ya kuwa donor country hakuwa nayo. Ni maneno ya kupumbaza watu.
Kukataa mgombea mwenza kulihitaji nguvu gani?
Uko sahihi kabisa. Hapa ndipo lawama kwa wananchi zinapokuwa na mashiko.Sheria Mama ni Katiba ndio pekee inayoweza kurekebisha hayo mapungufu !
Ila walioshika mpini hawataki kusikia habari hiyo 🙄
Wanaendelea kupiga danadana Ufukweni kwanza 🙄
Moro kasomea kile chuo cha watu wa AlahWaziri ni mtu wa Morogoro.