Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Hehehe,Huo wimbo mutaimba sana, ufunze hata watoto, wajukuu na vitukuu. Bado Kenya inasonga mbele. Hasira na uwivu mupeleke kwa magufuli ameshindwa kumaliza sgr, sasa anawadanganya na mapicha ya watu wakifanya kazi ya kuchomelea vyuma vya mgr.Sorry for ur desperation, but this is how things are and no way out u have to accept this bitter truth that Tz is going to take the lead socially, economically and politically as well.
In Other News:Utapata pressure bure kijana.
View attachment 1510155
Sasa hapa East Africa kuna nchi gani yenye uwezo wa kupigana na Tanzania hata tukitumia gobore amtuwezi acha, tu tuwauzieniAah wapi, wabangua korosho bado wanatumia hizo hizo silaha chakavu ambazo walitumia miaka ya 70s. Wapate hela wapi za kununua silaha za kisasa kama za KDF? Sio kwa hela kiduchu ambazo huwa wanagawiwa kwenye bajeti kila mwaka ambazo hazitoshi hata kununua magwanda mapya. Hivi walipata boots za kijeshi waka acha kuvalia 'gumboots'? [emoji1] Zero upgrade ya silaha kila mwaka ndio zao afadhali hata UPDF wa UG. Kila mwaka bajeti ya ulinzi ya Kenya na yakununua silaha mpya huwa ni zaidi ya bajeti ya nchi zote za AM kwa pamoja. 😀
Hao karao wanambia siyo mchezo nasikia funzo ambalo wanapenda kdf ni mbio maana ndiyo mwokozi wao. Hapo huyo askari ukitamka al shababu na kupasua puto tu bunduki zote anatupa na kutumia siraha pekee waliyo nayo KDF ambayo ni miguu yaani kutimuka mbio.Unajua mitumba ndio nn wewe? Ikija upande wa silaha Afrika hatuna mwenzetuView attachment 1508919View attachment 1508920View attachment 1508921
Hizo siraha ni kwa kupigia raia wasio vaa barakoa tu kuko Kenya [emoji23][emoji23] ukitaka kuteka kituo cha polisi Kenya vile vitu venye unaitaji niUnajua mitumba ndio nn wewe?....ikija upande wa silaha afrika hatuna mwenzetuView attachment 1508919View attachment 1508920View attachment 1508921
15 new DMUs?The trains will run hourly on the first 4 routes, carrying 130,000 people daily. Phase 1(Black) already has 6 main stations and 24 sub stations. Also the total number of dmus is 15 not 11.
View attachment 1511293
In fact the people making the most noise about refurbished DMU, do not realize they import vehicles that are older than 12 years.Shida ni ati most of us here use refurbished cars from japan, mwenye anapinga ainue mkono juu.
We mwenyewe pia unatumia mitumba,Hizo siraha ni kwa kupigia raia wasio vaa barakoa tu kuko Kenya [emoji23][emoji23] ukitaka kuteka kituo cha polisi Kenya vile vitu venye unaitaji ni
1) Puto
2) neno Al shababu
Basi
Ukifika kituoni tamka hilo neno al shababu kisha pasua puto tu ....kituo cha polisi kitakuwa chako na siraha zote wanakuachia
Wanajisahau km kwao vyuma chakavu vimejaa hatari.In fact the people making the most noise about refurbished DMU, do not realize they import vehicles that are older than 12 years.
Achana nae huyo, si ajabu hata yupo Chato tu anawinda SokweShida ni ati most of us here use refurbished cars from japan,mwenye anapinga ainue mkono juu
Unazungumzis mark II kuwa serious kidog bas.Wanajisahau km kwao vyuma chakavu vimejaa hatari.
Kenya sai kuna magari kuyapata kw market ni ngumu mazee.
Mfano mark II iko vizuri sana karibia kila kitu, tatitizo ukiitaka n mpka uitafute mitaani kw wanaomiliki.
Na we mwmywe unajua kabisa waafrika wanavyotumia magari, labda la mhindi
Nini Gari? Nimenunua tractor 3 newAchana nae huyo, si ajabu hata yupo chato tu anawinda sokwe
And yet u r f*cked up by Al shabab militias.Hii nayo ni CZ Scorpion rifle hutumika na police huku kitaa na hutupigi kelele kama nyinyi vilazaView attachment 1508923View attachment 1508924
Well, FN SCAR, n yet you have ceded Migingo island to LDC Uganda, shame!Unajua mitumba ndio nn wewe?....ikija upande wa silaha afrika hatuna mwenzetuView attachment 1508919View attachment 1508920View attachment 1508921