The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

Hamuna uchumi wa kujenga BRT nyie wacha kujifariji, af unasema bila aibu watu wanajazana kwa basi lete hyo picha watu wakijazana af linganisha na hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1512686View attachment 1512688
images-6.jpg
images-2.jpg

Mkutano wa kisiasa mnajambiana humo ndani.
images-6.jpg
images-2.jpg
 
Sasa mnaleta commuter trains mjini, ni wazo zuri. But mko na ujenzi wa barabara ya juu ya kulipia. Abiria watatumia treni zaidi na hivyo mapato ya kulipia barabara yatapungua na it will take a long period to service the debt! Sasa kwa hizo mandarin weaponized contracts huwezi jua mtakuwa mmeweka nini rehani hapo. Mbona hamna vipaumbele nyie watu?
Acha kudhihirisha chuki yako mbele ya umma. Dar has a brt system. Has that stopped your government from building an sgr station in Dar or even the Ubungo interchange? Argument yako nI ya kitoto sana and so full of hatred
 
Mkuu usichanganye mambo hapo, mode of finance ya hiyo miradi ni tofauti kabisa. Yani Ubungo interchange imejengwa ili kurahisisha zaidi hiyo BRT maana ujenzi ume accommodate hiyo BRT. SGR stations ni project nyingine tofauti kabisa na inaanzia DAR to Lake zone huko. Na pia sio mkopo kama huo wenu.

Nyinyi mnajenge express way ambayo itakuwa na road toll for 30 years. Sasa utajiuliza je ndani ya hiyo 30 years hela ya mchina isiporudi yote itakuwaje? Na inaweza isirudi maana mkishajenga commuter rail watu watatumia treni zaidi maana itakuwa cheap kuliko hiyo barabara ya kulipia, Mbona ni hesabu rahisi tu hiyo mkuu? Sio chuki maana hamna chochote cha maana cha kupelekea kuchukiwa.
 
Nafikiria kusoma kizungu imekushinda. Acha nijaribu kutafsiri Kenya inachukua BRT plan ya Bogota, Colombia ambayo iko juu ya hiyo ya tanzania kwa teknolojia na uchapa kazi. Kenya haiwezi chukua mipango za Tanzania ambazo hazifanyi kazi vizuri. Mabasi yana chelewa, Watu kujazana kwenye stesheni ni kama ni soko, haina miundo binu mwafaka ya BRT system. Hakuna Commuter rail ya kusaidia BRT. Hayo ni baadhi ya sababu Kenya haikutaka BRT kama Commuter rail phase 1 imalizwe.

Nimekupa dose ya reality ,sasa rudi kwa ndoto zako za Tanzania kuipiku Kenya in 2025.
Mnadhani Ku run BRT ni kuendesha matatu eee, hii ndio Bogota sasa
Screenshot_20200723-000724.jpeg
 
Mkuu usichanganye mambo hapo, mode of finance ya hiyo miradi ni tofauti kabisa. Yani Ubungo interchange imejengwa ili kurahisisha zaidi hiyo BRT maana ujenzi ume accommodate hiyo BRT. SGR stations ni project nyingine tofauti kabisa na inaanzia DAR to Lake zone huko. Na pia sio mkopo kama huo wenu.

Nyinyi mnajenge express way ambayo itakuwa na road toll for 30 years. Sasa utajiuliza je ndani ya hiyo 30 years hela ya mchina isiporudi yote itakuwaje? Na inaweza isirudi maana mkishajenga commuter rail watu watatumia treni zaidi maana itakuwa cheap kuliko hiyo barabara ya kulipia, Mbona ni hesabu rahisi tu hiyo mkuu? Sio chuki maana hamna chochote cha maana cha kupelekea kuchukiwa.
Your argument still doesn't hold any water. It is still full of gibberish and jealousy. You were wondering why Kenya is building an elevated expressway while upgrading a comutter railway line at the same time. You even went ahead and said that most people will be using the trains than the expressway, thus making the expressway a total waste of time. This reminds of the day one of you here called this project a "showoff".

Let me make it simpler for you. The expressway stretches just from the airport to westlands. It doesn't cover every corner of Nairobi like the commuter train does. How do you expect every Nairobian to use the expressway? The expressway was built specifically to ease congestion between the airport and the Central Business District and wetlands. The commuter train, on the other hand, covers different parts of Nairobi. That alone should tell you that naturally, the number of people using the commuter train will be higher compared to the expressway.

And lastly, your sgr is partly funded by the Greeks. Stop misleading people and sugarcoating things here. Some of us are well-informed
 
Nyinyi ni wazee wa white elephant nani hajui[emoji38][emoji38] Watu hawafanyi miradi kwa uhitaji ila kupata kitu.
 
Your argument still doesn't hold any water. It is still full of gibberish and jealousy. You were wondering why Kenya is building an elevated expressway while upgrading a comutter railway line at the same time. You even went ahead and said that most people will be using the trains than the expressway, thus making the expressway a total waste of time. This reminds of the day one of you here called this project a "showoff".

Let me make it simpler for you. The expressway stretches just from the airport to westlands. It doesn't cover every corner of Nairobi like the commuter train does. How do you expect every Nairobian to use the expressway? The expressway was built specifically to ease congestion between the airport and the Central Business District and wetlands. The commuter train, on the other hand, covers different parts of Nairobi. That alone should tell you that naturally, the number of people using the commuter train will be higher compared to the expressway.

And lastly, your sgr is partly funded by the Greeks. Stop misleading people and sugarcoating things here. Some of us are well-informed

You are too emotional my friend, I haven`t seen the so called Greeks who financed our SGR! Can you bring even a shredded piece of paper to prove your claims?

Bado lazima tujiulize hapa, itatokea nini kama miaka 30 itaisha bila mchina kupata hela yake hapo kwenye express way? Kumbuka hapo section yote yenye elevated express way itakuwa kama dead zone maana hiyo barabara itazuia muingiliano rahisi na kuonekana kwa majengo na biashara katika area hiyo! Hapo pia panahitaji utaalam kuona ni tatizo?

Halafu unafanya argument bila reasoning nzuri, kwani hiyo commuter rail haitapita airpot had westland ambapo ndio kuna hiyo express way? Na kwa hiyo short distance ya express way nani atakuwa tayari kuilipia wakati anaweza tumia hiyo commuter rail for a long distance and cheaper price?
 
Back
Top Bottom