Hamuna uchumi wa kujenga BRT nyie wacha kujifariji, af unasema bila aibu watu wanajazana kwa basi lete hyo picha watu wakijazana af linganisha na hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1512686View attachment 1512688
Hebu tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1514255View attachment 1514256
Mkutano wa kisiasa mnajambiana humo ndani.View attachment 1514255View attachment 1514256
Mwasiti me nakushauri ubaki na lawama za korosho tu hz mambo wachana nazo[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1514255View attachment 1514256
Mkutano wa kisiasa mnajambiana humo ndani.View attachment 1514255View attachment 1514256
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1514255View attachment 1514256
Mkutano wa kisiasa mnajambiana humo ndani.View attachment 1514255View attachment 1514256
Acha kudhihirisha chuki yako mbele ya umma. Dar has a brt system. Has that stopped your government from building an sgr station in Dar or even the Ubungo interchange? Argument yako nI ya kitoto sana and so full of hatredSasa mnaleta commuter trains mjini, ni wazo zuri. But mko na ujenzi wa barabara ya juu ya kulipia. Abiria watatumia treni zaidi na hivyo mapato ya kulipia barabara yatapungua na it will take a long period to service the debt! Sasa kwa hizo mandarin weaponized contracts huwezi jua mtakuwa mmeweka nini rehani hapo. Mbona hamna vipaumbele nyie watu?
Acha kudhihirisha chuki yako mbele ya umma. Dar has a brt system. Has that stopped your government from building an sgr station in Dar or even the Ubungo interchange? Argument yako nI ya kitoto sana and so full of hatred
Mnadhani Ku run BRT ni kuendesha matatu eee, hii ndio Bogota sasaNafikiria kusoma kizungu imekushinda. Acha nijaribu kutafsiri Kenya inachukua BRT plan ya Bogota, Colombia ambayo iko juu ya hiyo ya tanzania kwa teknolojia na uchapa kazi. Kenya haiwezi chukua mipango za Tanzania ambazo hazifanyi kazi vizuri. Mabasi yana chelewa, Watu kujazana kwenye stesheni ni kama ni soko, haina miundo binu mwafaka ya BRT system. Hakuna Commuter rail ya kusaidia BRT. Hayo ni baadhi ya sababu Kenya haikutaka BRT kama Commuter rail phase 1 imalizwe.
Nimekupa dose ya reality ,sasa rudi kwa ndoto zako za Tanzania kuipiku Kenya in 2025.
Alidhani akisema Bogota watu tutastuka na kuogopa, Wakenya ni watu wasiojiamini na wanaodhani kuja kwao duniani ni km nyongeza tu but wenye haki ni rangi nyeupe.Mnadhani Ku run BRT ni kuendesha matatu eee, hii ndio Bogota sasaView attachment 1514884
View attachment 1514255View attachment 1514256
Mkutano wa kisiasa mnajambiana humo ndani.View attachment 1514255View attachment 1514256
Your argument still doesn't hold any water. It is still full of gibberish and jealousy. You were wondering why Kenya is building an elevated expressway while upgrading a comutter railway line at the same time. You even went ahead and said that most people will be using the trains than the expressway, thus making the expressway a total waste of time. This reminds of the day one of you here called this project a "showoff".Mkuu usichanganye mambo hapo, mode of finance ya hiyo miradi ni tofauti kabisa. Yani Ubungo interchange imejengwa ili kurahisisha zaidi hiyo BRT maana ujenzi ume accommodate hiyo BRT. SGR stations ni project nyingine tofauti kabisa na inaanzia DAR to Lake zone huko. Na pia sio mkopo kama huo wenu.
Nyinyi mnajenge express way ambayo itakuwa na road toll for 30 years. Sasa utajiuliza je ndani ya hiyo 30 years hela ya mchina isiporudi yote itakuwaje? Na inaweza isirudi maana mkishajenga commuter rail watu watatumia treni zaidi maana itakuwa cheap kuliko hiyo barabara ya kulipia, Mbona ni hesabu rahisi tu hiyo mkuu? Sio chuki maana hamna chochote cha maana cha kupelekea kuchukiwa.
Nyinyi ni wazee wa white elephant nani hajui[emoji38][emoji38] Watu hawafanyi miradi kwa uhitaji ila kupata kitu.Your argument still doesn't hold any water. It is still full of gibberish and jealousy. You were wondering why Kenya is building an elevated expressway while upgrading a comutter railway line at the same time. You even went ahead and said that most people will be using the trains than the expressway, thus making the expressway a total waste of time. This reminds of the day one of you here called this project a "showoff".
Let me make it simpler for you. The expressway stretches just from the airport to westlands. It doesn't cover every corner of Nairobi like the commuter train does. How do you expect every Nairobian to use the expressway? The expressway was built specifically to ease congestion between the airport and the Central Business District and wetlands. The commuter train, on the other hand, covers different parts of Nairobi. That alone should tell you that naturally, the number of people using the commuter train will be higher compared to the expressway.
And lastly, your sgr is partly funded by the Greeks. Stop misleading people and sugarcoating things here. Some of us are well-informed
Your argument still doesn't hold any water. It is still full of gibberish and jealousy. You were wondering why Kenya is building an elevated expressway while upgrading a comutter railway line at the same time. You even went ahead and said that most people will be using the trains than the expressway, thus making the expressway a total waste of time. This reminds of the day one of you here called this project a "showoff".
Let me make it simpler for you. The expressway stretches just from the airport to westlands. It doesn't cover every corner of Nairobi like the commuter train does. How do you expect every Nairobian to use the expressway? The expressway was built specifically to ease congestion between the airport and the Central Business District and wetlands. The commuter train, on the other hand, covers different parts of Nairobi. That alone should tell you that naturally, the number of people using the commuter train will be higher compared to the expressway.
And lastly, your sgr is partly funded by the Greeks. Stop misleading people and sugarcoating things here. Some of us are well-informed
But kusema ukweli hizi bet hufanya highway UGLY sana.Mnadhani Ku run BRT ni kuendesha matatu eee, hii ndio Bogota sasaView attachment 1514884
But kusema ukweli hizi bet hufanya highway UGLY sana.
Walisema wao wanachukua za Bogota ndio hizi sasa.You are unbelievable! ...so in your eyes these looks ugly?
View attachment 1515551View attachment 1515553View attachment 1515554
Yes,You are unbelievable! ...so in your eyes these looks ugly?
View attachment 1515551View attachment 1515553View attachment 1515554
Yes,
By far,
Brt zote zinaaribu sura ya highways,
LRT za NYC na London naona sura ya barabara inamaintain