The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

Hizi zimeuzwa baaba ya hiyo nchi kuweka umeme katika railway, Kenya ni dumping area for scrapers.
Zimeuziwa pia France na Portugal. Kwa hivyo France na Portugal pia ni dumping ground ya scrapers?
 
Sio swali ulilloulizwa, umeulizwa kwanini hamnunui vitu vipya?, Tanzania hatuwezi kuhatarisha maisha ya watu wetu kwa kununua old trains au old planes.
Kwa nini France na Portugal hawanunui vitu vipya? Kwa nini wao wanahatarisha maisha ya watu wao kwa kununua old trains?
 
Kwa nini France na Portugal hawanunui vitu vipya? Kwa nini wao wanahatarisha maisha ya watu wao kwa kununua old trains?
Wameumia sana. Ebu waambie wakuonyeshe trains zao.
 
It is very easy for a rich man to maintain them, but very difficult for a poor man to service and maintain used car.
Let us worry about service. Hilo halikuhusu ndewe wala sikio. Wewe ulitaka kuonyesha watu hapa JF kwamba ni Kenya pekee iliyoamua kununua hizi trains eti kwa sababu sisi ni wajinga na hatuna akili. Nchi kama France ambayo inatengeneza electric trains pia imenunua hizi trains mnazoita mtumba.
 
It is very easy for a rich man to maintain them, but very difficult for a poor man to service and maintain used car.
Yeah, you are right. That`s why Kenya has bought the trains because we can maintain them. Kenya is the fifth wealthiest country in Africa and Nairobi sixth wealthiest city in Africa. Where do Tanzania and Dar fall in that league.
 
Huyo Trubarg kumbe ni mpumbavu hivyo? Sikuwa najua lakini huyo tutadeal na yeye hadi akimbilie jukwaa za masengenyo. Sasa anasoma vizuri kuwa France na Portugal pia wamenunua na yeye bado anatukejeli. Yeye ni bure kabisa, mavi ya kuku kama vile Kibaki husema.
Kama ambavyo Spain, Italy na USA wanavyokufa kwa Corona, na ninyi mumeamua kushindana nao, ninyi kila kitu kikifanywa na wazungu hata kama ni kitu cha hovyo, kwenu hamuwezi kujiuliza na kutumia akili zenu. Mzungu = Mungu.
 
Yeah, you are right. That`s why Kenya has bought the trains because we can maintain them. Kenya is the fifth wealthiest country in Africa and Nairobi sixth wealthiest city in Africa. Where do Tanzania and Dar fall in that league.
But you can't feed your selves, KENYA is the only country in Africa where people die of hunger, Kenya is the first country in Africa with highest Dept's to GDP ratio, Kenya is the only Country in Africa which can't even build a kilometer of rail from out of pocket.
 
What have Tanzania built with their own money kama choo enyewe pia mnajengewa. Kenya is doing a $25b project using taxpayers' money. Who died of hunger this year? Just mention one.
 
joto la jiwe show us your commuter trains and stations.
 
Sasa mnaleta commuter trains mjini, ni wazo zuri. But mko na ujenzi wa barabara ya juu ya kulipia. Abiria watatumia treni zaidi na hivyo mapato ya kulipia barabara yatapungua na it will take a long period to service the debt! Sasa kwa hizo mandarin weaponized contracts huwezi jua mtakuwa mmeweka nini rehani hapo. Mbona hamna vipaumbele nyie watu?
 
Zitapita reli gani?
Ndilo swali nililotaka kuuliza pia. Ni sawasawa na kununua mabasi mengi ya kifahari wakati hakuna barabara nzuri za kupitisha mabasi hayo. Pamoja na yote hayo, hongereni Kenya kwa kujitutumua huko. Kitu ambacho hakina mantiki ni kuzungumzia suala hili kwa maana tu ya kuziacha nyuma nchi zingine za Afrika Mashariki. Hayo mashindano yanamsaidia vipi Mkenya? Fanya kitu kwa kutatua kero iliyopo bila kujilinganisha na mwingine ambaye anatoa kipaumbele kwa kero tofauti na yako.
 
Google treni ya Mwakyembe.
This is what I got. 😂 😂
Train.gif
 
What have Tanzania built with their own money kama choo enyewe pia mnajengewa. Kenya is doing a $25b project using taxpayers' money. Who died of hunger this year? Just mention one.
Hahahaha, $25B?, but there is nor water in Nairobi, in Turkana, Samburu and other parts Kenyans are dying of hunger, in Kibera and other slums there are nor toilets people are living like pigs.
 
Midanganyika haijui hadi USA anatumia diesel electric trains kubeba cargo across Continental US.
Hahahaha, that's why you are trying at your level best to catch up with USA in the number of deaths and infections due to Corona, to you "Mungu = Mungu".
 
Back
Top Bottom